Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,023
- 12,811
Anasemaje?? Ngereja amechukua chake mapema...Tendwa kaanza kutapika kuhusu DC na anajua kesi ipo mahamani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasemaje?? Ngereja amechukua chake mapema...Tendwa kaanza kutapika kuhusu DC na anajua kesi ipo mahamani.
Asante mkuu!mpaka sasa mawakala wa CDM wapo imara zaidi coz wengi wao ni wanavyuo vikuu kutoka UDOM,UDSM MZUMBE na kwingneko na wenye ufahamu mzuri wa computer na kujali zaidi maslahi ya wanaigunga na sio kweli kuwa kna mama ndio wengi hapa naona wengi vijana na wapo kwenye foleni huku kina mama wakija kwa kuchungulia foleni imeisha au bado hzo ndizo updates mpaka ss hv!
Anasemaje?? Ngereja amechukua chake mapema...
Anasema DC aliletewa fujo akiwa katika kazi yake kama DCAnasemaje?? Ngereja amechukua chake mapema...
mbona naona watu ni wengi na vijana ni wengi tu wko kwenye foleni....kuna upotoshaji unafanyika kuw wengi ni kina mama......
Huyo mama inavyosemekana katumwa na CDM ili kupandisha hasira za wana Igunga dhidi ya CCM.Huyo balozi aliemtaja amefuatiliwa na hakupatikana,yaani does not exist.
Armed struggle ndiyo option pekee ilibaki kwa Watanganyika. Katika hali ya kawaida kwa nini huyo balozi asiuawe?
Anaongelea uvunjifu wa amani ila nashangaa hazungumzii uvunjifu wa haki.Ati.. baadhi ya vyama vya siasa vinafanya uhuni kwenye kampeni. Suala la vurugu za uchaguzi Igunga litajadiliwa katika Baraza la Vyama vya Siasa.
chama kitachoshinda kimeanza na herufi c
Yana mwisho haya na mwisho wao ni katiba mpya..................Anasema DC aliletewa fujo akiwa katika kazi yake kama DC
hana lolote huyu Tendwa na kuhakikishia kama mambo yaliyokuwa yanafanywa na CCM kwenye kampeni za safari hii siyo Igunga tu.....siajabu ugesikia kitu cha ajabu sana achiliambalia barua ya onyo kali lakini kwa kuwa wanao fanya hivyo ni CCM hana la kufanya.....Ati.. baadhi ya vyama vya siasa vinafanya uhuni kwenye kampeni. Suala la vurugu za uchaguzi Igunga litajadiliwa katika Baraza la Vyama vya Siasa.