Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Elections 2010 Uchaguzi mdogo Igunga (UPDATES): Upigaji Kura

Status
Not open for further replies.
Jamani mbona tunapata habari tofauti kupitia TVs?tunaambiwa vituo vimeamishwa,majina yameamishwa,na mambo kama hayo..mlioko huko tunataka updates jamani

Namuona Tendwa yuko TBC1 anabwabwaja tu maneno ya kiCCM..a wicked cocroache
 
Sasa ITV wanaonyesha ngumi Japhet Kaseba na Mtambo wa Gongo....wanapekekana haswa....wakitoka hapa tutarudi tena igunga!!
 
ni kweli Itv imeonyesha mapungufu hayo. yaani vituo hewa!!!
 
kuhalalisha matokeo ya kupanga

wanawake na wazee ni watu wenye msimamo mgando. Ccm ina amini kwa kuwa hawa wamekuwa wakiwapigia kura mara zote basi na safari hii lazima watawapigia kwa kiasi kikubwa.

Lakini cha msingi kesho sio mbali sana tusiburi matokeo(halali) halisi.
 
Njaa inauma halafu hamu ya kula sina na tumbo la kuhara naliona kwa mbali! Maana misheni tuliyopewa imekwama na mimi ndo nimeikwamisha sasa nasubiri misheni ya jioni!! Mungu ibariki tz! Mungu ibariki cdm! Mungu ibariki demokrasia!!
 
Wengi walijitokeza kwenye viwanja vya kampeni lakini kwenye kupiga kura hawapo, hii ni mbaya sana kwa baadhi ya CHAMA

hapa ndipo watanzania tunapokosea. Tunashindwa kuelewa kuwa kupiga kura ndio suluhisho.
 
wanawake na wazee ni watu wenye msimamo mgando. Ccm ina amini kwa kuwa hawa wamekuwa wakiwapigia kura mara zote basi na safari hii lazima watawapigia kwa kiasi kikubwa.

Lakini cha msingi kesho sio mbali sana tusiburi matokeo(halali) halisi.

Ni leo jioni mkuu kabla hata ya 9:00 news, kujumlisha matokeo ya jumla ya vituo 400 ni kazi ya 15minutes.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom