Uchaguzi Mkuu CHADEMA (Taifa) huwa unafuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi

Uchaguzi Mkuu CHADEMA (Taifa) huwa unafuatiliwa na watu wengi ndani na nje ya nchi

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu.
Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20.

2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu.
Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe kura 56.

2024: Sio tetesi tena Makamu Mweyekiti Mh. Tundu Lissu atawania kiti hicho tuendelee kutega sikio. Good strategy in Branding the Party.

Hii ndio demokrasia ndani ya Chadema, huwezi kuona harakati kama hizi ama tetesi tu za M/mkiti wa CCM (Mpango) kuandaa press conference kama inavyofanyika ndani ya Chadema.

Nawaalika wanaCCM watuambie,
Samia aligombea na nani,
Magufuli aligombea na nani,
Kikwete aligombea na nani,
Mkapa aligombea na nani,
Mwinyi aligombea na nani na, Nyerere aligombea na nani.
20241212_125400.jpg
 
2014: Freeman Aikael Mbowe na Ester Matiku walichukua fomu.
Matokeo: Mbowe kura 789, Matiku kura 20.

2019: Freeman Aikael Mbowe na Cecil Mwambe walichukua fomu.
Matokeo: Mbowe kura 886, Mwambe kura 56.

2024: Kuna tetesi Makamu Mweyekiti Mh. Tundu Lissu atawania kiti hicho tuendelee kutega sikio. Good strategy in Branding the Party.

Hii ndio demokrasia ndani ya Chadema, huwezi kuona harakati kama hizi ama tetesi tu za M/mkiti wa CCM (Mpango) kuandaa press conference kama inavyofanyika ndani ya Chadema.

Nawaalika wanaCCM watuambie,
Samia aligombea na nani,
Magufuli aligombea na nani,
Kikwete aligombea na nani,
Mkapa aligombea na nani,
Mwinyi aligombea na nani na, Nyerere aligombea na nani.
Ingawa mimi sio mwamachama wa CHADEMA lakini ninaikubali demokrasia yao.

Kama Lissu atatangaza kugombea uenyekiti haina shida mradi tu ukifanyika uchaguzi atakayeshindwa aheshimu matokeo ya uchaguzi asilielie ooh rushwa au blah blah zingine. Kwa sababu kinachotakiwa ni kila mjumbe wa mkutano mkuu apige kura yake jinsi anavyotaka, kama kauza kura au kapiga kwa misingi yeyote ile ili mradi kapiga kwa hiyari yake matokeo yaheshimiwe na kila mgombea.

Ikiwa baada ya mgombea kushindwa ataamua kuhama hiyo itaonyesha tangu mwanzo hakuwa,na nia njema na CHADEMA.
 
CCM haijawahi kuwa na uchaguzi wa viongozi ngazi ya kitaifa. Ni genge fulani tu la watu, linaamua nani wawe viongozi. Wa huko chini ni kama watumwa wa wale viongozi wa ngazi ya Taifa wanaomiliki chama.
Matapeli yale
 
Mission accomplished, mtajua hamjui.

20241212_125400.jpg
 
Back
Top Bottom