Hili nalo linawezekana..
Na kusema kweli, kwa haraka haraka hata mimi nimeiona hii picha, kwamba, a smart political game is being played here..
Na hawa jamaa wanaocheza mchezo huu kwa jinsi walivyo wajinga wakidhani watu hawataajua, wanaonesha kuwa hawamtaki huyu mwanamke wao huko CCM lakini at the same time ndani ya CHADEMA wanajua kwa hakika kuwa mtu hatari na sumu kwa CCM wakati wowote ni Tundu Antipasy Mughway Lissu.
Kwa hiyo wanacheza mchezo wao kotekote kuhakikisha, huyu mama hatoboi huko CCM na wakati huohuo kujaribu kupanda mgogoro CHADEMA ili mradi mwiba wa CCM, mwanasheria, mwanaharakati na mwanasiasa nguli na machachari
Tundu Lissu hapati nafasi kupambana na yeyote atakayesimama CCM mwaka kesho - 2025..
Na ukiachilia mbali hiki kinachoitwa "unabii", the fact is that, huyu mama majority ya wana CCM huko ndani mwao ukiachilia mbali sisi wananchi tusio wanaCCM hawamkubali..
Vigezo vikuu vya kutokukubalika ni vitatu hivi;
1.
Si Mtanganyika, ni Mzanzibari (nchi na taifa jingine akitawala nchi nyingine ya Tanganyika)
2.
Ni mwanamke. Taifa hili ni gumu, mwanamke hawezi kuliongoza. Huyu mwanamke amethibitisha hili. Na by the way this is nature. A woman can never be a head of the family unless it is by default..
3.
Hatukumchagua. She is just there by constitutional default. in 2020 she was just
a side chick wa John P. Magufuli. Mtu ambaye hakuchaguliwa hawezi kuwa na vision ktk uongozi wake. Siku zote uongozi wake utakuwa vogue.
Mimi namwita
Lucas Mwashambwa aje huku aseme neno. Yuko kimya sana kwenye hili. Au umepigwa na kitu kizito kichwani boss na umezirai huko uliko??