Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

Uchaguzi mkuu kiti cha Rais 2025 (video): Unabii waweka wazi kuwa ni Samia S. Hassan (CCM) vs Bishop Josephat Gwajima (CHADEMA)...

Kuna nyakati zikifika, hata mwamba (pasitarajiwa kutoka maji), yatatoka maji ya kunywa na kunywesha mimea na wanyama..

Maana yake ni kuwa, umeshafika wakati wa kilichoshindikana nyakati zile, kitawezekana sasa na kesho..

Huamini?

Subiri utaona kwa macho na kusikia kwa masikio yako...!!
Furaha yangu ni Katiba mpya iliyo zuri kwa taifa na watu wake kwa asilimia kubwa, ccm kukaa pembeni.

Kwenye msiba wa Lowasa unakumbuka nukuu za Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Hayati Lowasa alipotaka kuhamia upinzani?
 
Kwenye msiba wa Lowasa unakumbuka nukuu za Profesa Anna Tibaijuka kuhusu Hayati Lowasa alipotaka kuhamia upinzani?
Hapana, sikumbuki tafadhali...

Unaweza tu kunikumbusha ili iwe faida kwa wengine pia ambao hawaelewi Anna Tibaijuka alisema nini na wale ambao hawakumbuki kama mimi...
 
Back
Top Bottom