Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kujitoa ufahamj Mbowe ,hata akikosa Ubunge Bado sio maskin mtu ana mpaka nyumba Dubai ,unafikili Mbowe ubunge unamuongezea nini ,Mbowe anapigania kizazi chako kijacho hacha kujitoa ufahamChadema ikikosa wabunge ndio kura zinakuwa feki? Mbowe akikosa ubunge ndio uchaguzi unarudiwa? Acheni mambo ya kitoto, watanzania wameridhika na uchaguzi na wanaendelea na shughuli zao. Chadema kufa kifo cha mende ndio mnaleta uongo.
Uthibitisho wa kura feki upo Tanzania nzima. Angalia Youtube mfano uone wizi wa Kawe ulioshuhudiwa kwa aibu na polisi yenyewenilibahatika kusimamia uchaguzi Sikuoni Dalili yoyote ya wizi au kura feki, ni mhemko Ndio tatizo Kuna asilimia fulani wagombea wangepishana ungesema kura zimeibiwa ila kwa kituo kimoja kimoja ushindi wa ccm ulikuwa dhahiri na mawakala walishuhudia nakuridhika pasipo Shaka, tugange yajayo
Miaka zaidi ya 10 amekuwa bungeni amewapigania na kuwatetea watanzania gani? Kuwa na nyumba Dubai ndio justification kuwa hana njaa ya kisiasa? Mbona alikuwa anagombea kwa nguvu na wananchi wakamtosa. Mbona alitaka kuanzisha maandamano,si angeenda Dubai kuishi,huna akili bwege wewe.Acha kujitoa ufaham mbowe ,hata akikosa ubunge Bado sio maskin mtu ana mpaka nyumba dubai ,unafikili mbowe ubunge unamuongezea nini ,mbowe anapigania kizazi chako kijacho hacha kujitoa ufaham
Watu wanachoma kura huku hata sura hazionekani? Kama ni ushahidi wa kweli nendeni mkafungue kesi.Uthibitisho wa kura feki upo Tanzania nzima. Angalia Youtube mfano uone wizi wa Kawe ulioshuhudiwa kwa aibu na polisi yenyewe
Unadhani kwa mahakama hizi watashinda?Watu wanachoma kura huku hata sura hazionekani? Kama ni ushahidi wa kweli nendeni mkafungue kesi.
Acha maneno wewe ,unaongea nini punguza ukada ,mbowe sio saiz yako kuanzia kiuchumi huyu kakulia kwenye mapesa ,Hana njaa nyie ambao mmepata vibarua na kuanza ingiza m 3 may be kwa mwezi ndo mnaona maisha mmeyapatia, mlioanza pata vinafasi vya ukuu wa wilaya, mkoa ndo mwaona dunia yenu ,mbowe anauwezo wa kuacha siasa na asitetereke.Miaka zaidi ya 10 amekuwa bungeni amewapigania na kuwatetea watanzania gani? Kuwa na nyumba Dubai ndio justification kuwa hana njaa ya kisiasa? Mbona alikuwa anagombea kwa nguvu na wananchi wakamtosa. Mbona alitaka kuanzisha maandamano,si angeenda Dubai kuishi,huna akili bwege wewe.
Acha uongo mim nilikuwa ndani ya chumba cha kura nilishuhudia orodha ndefu ya majina ya wafu wakiiorodheshwa kama wapiga kura na walipiga nilishuhudia mtendaji akipiga kura vituo vyote vya kata yake bila bughdha.Nilibahatika kusimamia uchaguzi Sikuoni Dalili yoyote ya wizi au kura feki, ni mhemko Ndio tatizo Kuna asilimia fulani wagombea wangepishana ungesema kura zimeibiwa ila kwa kituo kimoja kimoja ushindi wa CCM ulikuwa dhahiri na mawakala walishuhudia nakuridhika pasipo Shaka, tugange yajayo