Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu Tanzania urudiwe

Uchaguzi 2020 Uchaguzi Mkuu Tanzania urudiwe

share

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2008
Posts
6,064
Reaction score
10,468
Kama watumishi wa umma waliokuwa na vyeti feki walifutwa kazini hali kadhalika viongozi walioingia madarakani kwa kura feki waondolewe wote. Uchaguzi Mkuu urudiwe. Ulijaa wizi wa kura ngazi zote kuanzia Urais mpaka Udiwani.
 
Nilibahatika kusimamia uchaguzi Sikuoni Dalili yoyote ya wizi au kura feki, ni mhemko Ndio tatizo Kuna asilimia fulani wagombea wangepishana ungesema kura zimeibiwa ila kwa kituo kimoja kimoja ushindi wa CCM ulikuwa dhahiri na mawakala walishuhudia nakuridhika pasipo Shaka, tugange yajayo
 
Mkuu hili ndo Jambo kuu la kurudisha umoja wa kitaifa ,watu wanasema mbona watu hawajaandamana, ieleweke watu wanaendelea kuandamana ,maandamano ya amani sio lazima mue kundi Jana nikiwa kwenye gari mzee mmoja alikua anaenda kulipa mapato akasema, nimetembea km tano kutoka nyumbani ili kutimiza wajibu wangu so Kila anaetembea barabarani jua anaandamana ,
 
Chadema ikikosa wabunge ndio kura zinakuwa feki? Mbowe akikosa ubunge ndio uchaguzi unarudiwa? Acheni mambo ya kitoto, watanzania wameridhika na uchaguzi na wanaendelea na shughuli zao. Chadema kufa kifo cha mende ndio mnaleta uongo.
Acha kujitoa ufahamj Mbowe ,hata akikosa Ubunge Bado sio maskin mtu ana mpaka nyumba Dubai ,unafikili Mbowe ubunge unamuongezea nini ,Mbowe anapigania kizazi chako kijacho hacha kujitoa ufaham
 
Hebu tuonyeshe hizo kura unazodai zimeibiwa.
Watu wamekula spana we unaleta longo longo hapa.
Arusha na Moshi wameitosa CHADEMA kiroho safi watu wanachekelea tu
 
nilibahatika kusimamia uchaguzi Sikuoni Dalili yoyote ya wizi au kura feki, ni mhemko Ndio tatizo Kuna asilimia fulani wagombea wangepishana ungesema kura zimeibiwa ila kwa kituo kimoja kimoja ushindi wa ccm ulikuwa dhahiri na mawakala walishuhudia nakuridhika pasipo Shaka, tugange yajayo
Uthibitisho wa kura feki upo Tanzania nzima. Angalia Youtube mfano uone wizi wa Kawe ulioshuhudiwa kwa aibu na polisi yenyewe
 
Acha kujitoa ufaham mbowe ,hata akikosa ubunge Bado sio maskin mtu ana mpaka nyumba dubai ,unafikili mbowe ubunge unamuongezea nini ,mbowe anapigania kizazi chako kijacho hacha kujitoa ufaham
Miaka zaidi ya 10 amekuwa bungeni amewapigania na kuwatetea watanzania gani? Kuwa na nyumba Dubai ndio justification kuwa hana njaa ya kisiasa? Mbona alikuwa anagombea kwa nguvu na wananchi wakamtosa. Mbona alitaka kuanzisha maandamano,si angeenda Dubai kuishi,huna akili bwege wewe.
 
kipindi cha kampeni kuna comment na mijadala humu nilisema nina save for future reference, ngoja nianze kufukua makaburi nicheke 😀😀😀😀 vizuri
 
Uthibitisho wa kura feki upo Tanzania nzima. Angalia Youtube mfano uone wizi wa Kawe ulioshuhudiwa kwa aibu na polisi yenyewe
Watu wanachoma kura huku hata sura hazionekani? Kama ni ushahidi wa kweli nendeni mkafungue kesi.
 
Miaka zaidi ya 10 amekuwa bungeni amewapigania na kuwatetea watanzania gani? Kuwa na nyumba Dubai ndio justification kuwa hana njaa ya kisiasa? Mbona alikuwa anagombea kwa nguvu na wananchi wakamtosa. Mbona alitaka kuanzisha maandamano,si angeenda Dubai kuishi,huna akili bwege wewe.
Acha maneno wewe ,unaongea nini punguza ukada ,mbowe sio saiz yako kuanzia kiuchumi huyu kakulia kwenye mapesa ,Hana njaa nyie ambao mmepata vibarua na kuanza ingiza m 3 may be kwa mwezi ndo mnaona maisha mmeyapatia, mlioanza pata vinafasi vya ukuu wa wilaya, mkoa ndo mwaona dunia yenu ,mbowe anauwezo wa kuacha siasa na asitetereke.

Uliza ni vijana wangapi kawatengeneza kwa fedha zake mwenyewe kua viongozi hata kabla ya kua mbunge mfano mh mnyika, zitto, leo mnasema eti gaid haitakuwa na atashinda asema bwana.
 
Nilibahatika kusimamia uchaguzi Sikuoni Dalili yoyote ya wizi au kura feki, ni mhemko Ndio tatizo Kuna asilimia fulani wagombea wangepishana ungesema kura zimeibiwa ila kwa kituo kimoja kimoja ushindi wa CCM ulikuwa dhahiri na mawakala walishuhudia nakuridhika pasipo Shaka, tugange yajayo
Acha uongo mim nilikuwa ndani ya chumba cha kura nilishuhudia orodha ndefu ya majina ya wafu wakiiorodheshwa kama wapiga kura na walipiga nilishuhudia mtendaji akipiga kura vituo vyote vya kata yake bila bughdha.

mawakala wa vyama flani walitishwa kabla ya kuhongwa kisha wakakubali madudu yakatokea chajabu wapo wana ccm ambao ilikuwa washinde kihalali kabisa lkn bado waliiba.

Hongera zako Mrisho Mashaka Gambo mbunge ulomaliza uchimbaji wa kisima sokoni Kilombero kabla hata hujaapishwa.
 
Back
Top Bottom