Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimearifiwa kuwa Jamal Malinzi amechaguliwa kuwa Rais wa pili wa TFF. Hii ni baada ya kushunda katika uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika leo hii. Amemshinda Nyamlani.
Habari zaidi kufuata punde...
Naaaaam Nyamlani ameshakimbia ukumbi,
Malinzj juuuuuuuu juuuu
Mkuu ahsante kwa Taarifa. Hizi ni habari njema sana sana
Sasa wenye kesi kwa nyamlani kesho mtajiju anaweza kulima mtu miaka 670 jela
Sasa wenye kesi kwa nyamlani kesho mtajiju anaweza kulima mtu miaka 670 jela