Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Sasa mbona watu wanatoa matoke hewa?

Wanayapata wapi??
Hao wanabashiri tu......Matokeo bado sana kutangazwa.....Inawezekana yakatangazwa hata saa 6 usiku......

Kitendo cha Nyamlani kwenda kupata chakula cha jioni na baadhi ya wagombea wengine wamekitafsiri kama ni kukimbia matokeo kitu ambacho si kweli........

Kura za Uraisi zimeanza kuhesabiwa muda mfupi uliopita......

Ngoja tusubiri na tuone....
 
Hongera tenga kwa kututoa kwenye Soka la migogoro mikubwa na kutufikisha hapo tulipo,nilipenda Soka ktk kipindi cha tff kwani kwenye fat wengine walichukulia Soka km yao na kuwa na majibu ya kuudhi .Kazi kwako rais mpya unawakati mgumu wa kutuhakikishia kuwa haturudi kwenye fat, na mbaya zaidi ukiingiza usimba na uyanga
 
There are currently 718 users browsing this thread. (84 members and 634 guests)
aduwilly, Dark City, mdabulo, brave one, WABHEJASANA, Balantanda, House of Commons, Revocatus Kashaga, matimbanyula, Molemo, Mapi, nitonye, Magehema, gwijilasoka, ACCOUNT FULL, Dr F. Ndugulile, JuaKali, Iramusm, Yericko Nyerere, Awo, Inkoskaz, Kakalende, Mwanjelwa, fundimchundo, Atom, Kitaja, Masikrodinga, ijoz, MKURABITA, Silas Haki, MR. DRY, Moses Mkombe, Tongs, watu8, Mnwele, Sanja, Chililo, Ritz, Good Guy, Amavubi, TanganyikaTANU, jonta, mka, WENCY, Mchwechwele, Kayoka, Makenya, thinka, Butola, Morinyo, ndomyana, Mazoko, KANYIMBI, Mponjori, Lusa Nise, Tangopori, joejou, raybse, Chang'o, Polisi, rushanju, TheTanzaniaWeWant, Cynic, Junior. Cux, mfarisayo, bullet, gfsonwin, dickson longo, Filipo, Bigjahman, PrN-kazi, Mkirua, Ta Muganyizi, bily, kiwatengu, Mzee Wa Rubisi, magessa78, SaidAlly, Meela, Luco2011, gollocko, manz98, FUKO LA DHIKI


Kumbe gfsnowin bado umo nilidhani umeshakimbia kama ulivyokuwa umesema mwanzo kuwa una-log off.
 
Hongera jamali malinzi kwa kupewa jukumu la kuongoza chama chetu mpira wa miguu,
hatutati longolongo, tafadhali endeleza mema aliyoyafanya Tenga, na chamuhimu zaidi
tushiriki kombe la dunia 2018 Russia
 
Mambo ya kipimbi haya..kule twitter akina zitto wanamongeza malinzi huku mnasema bado..mambo gani hayaaaa
 
hongera sana, tumechoka na longolongo za kwenye soka, especially timu yetu ya taifa.
Tufanyie mambo 2018 tuone taifa star ndani ya russia
 
Wajumbe,Kidau,Mbise,Kaburu,(Pwani na Moro),nitaendelea kuwajuza wakuu,hayajatangazwa lakini yametoka chunguni haya.hawa wameshinda kwenye kanda zao.
 
Hongera ulieshinda.wagombea wote wa nafasi yenu,hamfai,kule kadambili hukufanya cha maana je hapa?.
 
Tangu saa mbili usiku tunaambiwa Malinzi ameshinda,kumbe hata kura walikuwa hawajapiga
 
Ina maana mwalimu wangu Riziki Majala kaambulia patupu duh!!!

Wajumbe,Kidau,Mbise,Kaburu,(Pwani na Moro),nitaendelea kuwajuza wakuu,hayajatangazwa lakini yametoka chunguni haya.hawa wameshinda kwenye kanda zao.
 
Back
Top Bottom