CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
- Thread starter
- #281
Mwongo!!Malinzi kashinda kwa kishindo...!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwongo!!Malinzi kashinda kwa kishindo...!!
Malinzi kashinda kwa kishindo...!!
Nani amchague mwalimu wa shule ya kata!!!!
Kwanini Mkuu.
Ebu chungulia kule FB maana nasikia Malinzi anapongezwa FB Mkuu.
Kwanini Mkuu.
Ebu chungulia kule FB maana nasikia Malinzi anapongezwa FB Mkuu.
Tusaidie kuomba sana mkuu kwa sbb Tenga na Osiah wamecheza rafu sana kati saa 8 na 9 ukumbini.
Ina maana fb wanataka kutuzidi ma-updates!wapi wabhejasana na wenzako humo ukumbini?
Mkuu Yericko Nyerere ebu thibitisha basi.
Hongera Malinzi, pia Kaburu na Kidau.