Dr Emma John
JF-Expert Member
- May 9, 2013
- 820
- 195
MATOKEO URAIS TFF
Malinzi 106 nyamlani 16
Aise kama ni kweli,itakuwa ni aibu ya mwaka kwa nyamlani.vipi madega kwenye umakamu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MATOKEO URAIS TFF
Malinzi 106 nyamlani 16
Aiseeeeee!Malinzi 106 nyamlani 16
Ndio madega kashinda
MATOKEO URAIS TFF
Malinzi 106 nyamlani 16
Madega kapigwa chini na Wallace Karia
Tumbo linañkata mie, hebu watangaze basi.
Ndio madega kashinda
Mji MpwapwaNi shabiki wa Simba au Yanga?
Thats whats uuuuuuuppppppp......
Pongezi zako Jamal Malinzi
Tunataka kuona mpira ukichezwa nchi nzima sio Dsm pekee.
Mtannikuta ICU
Baadhi ya kanda zilizohesabu hadi sasa ni Dsm - Kidau,
Moro/ pwani - Kaburu,
Tanga / Klmjaro - Khalid, Lindi / Mtwara - Kambi,
Tabora/ Kigoma - Mgoyi,
Mbeya / Iringa - Nyenzi,
Njombe / Ruvuma - Mhagama,
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Ndio madega kashinda
Mwita huyo Chililo ni Muongo, matokeo hayajawa Comfirmed sema JAMAL MALINZI anaelekea kushinda. Umakamu wa Rais for sure kashinda Wallace Karia
Baadhi ya kanda zilizohesabu hadi sasa ni Dsm - Kidau,
Moro/ pwani - Kaburu,
Tanga / Klmjaro - Khalid, Lindi / Mtwara - Kambi,
Tabora/ Kigoma - Mgoyi,
Mbeya / Iringa - Nyenzi,
Njombe / Ruvuma - Mhagama,
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums