Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Chililo unauhakika?? Ujue sjalala npate matokeo kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Ngoja ntarudi.
Maana haya matokeo ni full aibu kwa Tenga na wahuni wenzie.
 
Ndio madega kashinda

Chililo na HHHK acheni kucheza na akili za watu ok. Wapiga kura ni 126 na hakuna kura iliyoharibika. Madega Kashindwa na Wallace Karia katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti, Pia Nassib Ramadhan kashindwa katika nafasi hiyohiyo
 
yan mlolongo wa tff kuhesabu kura kama miss tanzania bhana, ili mradi ifike usiku wa manane tu.
 
Baadhi ya kanda zilizohesabu hadi sasa ni Dsm - Kidau,
Moro/ pwani - Kaburu,
Tanga / Klmjaro - Khalid, Lindi / Mtwara - Kambi,
Tabora/ Kigoma - Mgoyi,
Mbeya / Iringa - Nyenzi,
Njombe / Ruvuma - Mhagama,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Huyu Ahmed Msafiri Mgoyi wa kanda ya Tabora/Kigoma alitakiwa kupumzishwa lakini bahati mbaya amerudi tena.
 
Mwita huyo Chililo ni Muongo, matokeo hayajawa Comfirmed sema JAMAL MALINZI anaelekea kushinda. Umakamu wa Rais for sure kashinda Wallace Karia

He kumbe nimelishwa kasa!? We chililo ni mzandiki unastahili life ban.
 
Baadhi ya kanda zilizohesabu hadi sasa ni Dsm - Kidau,
Moro/ pwani - Kaburu,
Tanga / Klmjaro - Khalid, Lindi / Mtwara - Kambi,
Tabora/ Kigoma - Mgoyi,
Mbeya / Iringa - Nyenzi,
Njombe / Ruvuma - Mhagama,

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Mbona nmesikia kanda ya Tanga/K'njaro ameshnda Davis Mosha? Na huyo Msafiri Mgoyi inasemekana katibu wake kutoka Kigoma ndiye aliyeshikwa na mlungula, alikuwa kambi ya Nyamlani huyu, si unajua ni M-TFF mwenzake
 
Back
Top Bottom