Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maggid Mjengwa ni ndimi mbili, wakati mwingine sio wa kumwamini sana.Maggid Mjengwa (FB) anasema Moja ya matokeo ya ajabu kupata kuyashuhudia .. matokeo ya urais bado..kumbuka yeye ni mmoja wa wahesabu kura!
Wallace Karia
Kwa mujibu wa habari za kuaminika nilizozipata kwa nia ya sms kutoka ukumbi wa kura, TAKUKURU wana record kila kitu.
Mshindi, yeyote awaye ajitayarishe kujieleza kwa TAKUKURU within a week.
Nyamlani akishinda nameza sindano.
ni shabiki wa simba au yanga?
Weeeee! acha maskhara bana.this is like a date game,anything can happen.
Ni shabiki wa Simba au Yanga?
Ndio madega kashindaKuna yule aliyekua kiongozi wa yanga Ukiacha malinzi anaitwa Madega vipi nae ameshinda? Naombeni matokeo!
MATOKEO URAIS TFF
Malinzi 106 nyamlani 16