Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Msiochungulia majukwaa yale ya chini habari ndo hiyo
Jamal-Malinzi.jpg
 
Nimearifiwa kuwa Jamal Malinzi amechaguliwa kuwa Rais wa pili wa TFF. Hii ni baada ya kushunda katika uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika leo hii. Amemshinda Nyamlani.

Habari zaidi kufuata punde...


Tafuta details basi utuwekee.....

Hivi Invisible na team yake hawakutuma mwakilishi?
 
Last edited by a moderator:
Sasa wenye kesi kwa nyamlani kesho mtajiju anaweza kulima mtu miaka 670 jela
 
uyu jamaa anastahili tunataka mabadiliko TFF
 
Sasa wenye kesi kwa nyamlani kesho mtajiju anaweza kulima mtu miaka 670 jela

unanikumbusha hakimu mmoja wa mikoani huko aliibiwa baiskeli yake basi kila ikija kesi ya wizi wa baiskeli anatembeza mvua nyingi huku akisema ndo walewale
 
Mungu amesikia kilio cha watanzania!! viva Malinzi
 
Ndio sasa kura za wajumbe wa kanda na makamu zimemalizika,kura za urais zinaanza kuhesabiwa,Malinzi kaingia mwenyewe,Nyamlani kamuingiza mwakilishi na haonekani maeneo haya.
 
Kila la heri Malinzi!
Nyamlani utatusamehe ila Ukweli ni kwamba hufai kuiongoza TFF!
 
Back
Top Bottom