Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

hofu yangu ni hyo tu Defend or die japo huyo jamaa '05 skumchagua.
 
Last edited by a moderator:
Mungu amesikia kilio cha watanzania!! viva Malinzi


Mkuu ndio kwanza kura zao zimeanza kuhesabiwa,bado tulia tumejitahidi kufanya kampeni za haki na za kisayanzi lakini mijaa ya Nyamlani kwa kushirikiana nanTff wametucheza rafu dakika za mwisho sana ukumnini,ilamsio mbaya sana jebu ngojamtusikilizie.
 
Ndio sasa kura za wajumbe wa kanda na makamu zimemalizika,kura za urais zinaanza kuhesabiwa,Malinzi kaingia mwenyewe,Nyamlani kamuingiza mwakilishi na haonekani maeneo haya.

Keep informing please
 

kumbe bado tu???
 
Nimewasiliana na mdau mmoja yupo katika ukumbi unapofanyika uchaguzi anasema matokeo bado hayajatangazwa, kwa mtazamo wake nafasi ya uRais bado ni 50 fifty hakuna favorite so far kwa hiyo tuwe na subira. Kuhusu Nyamlani kutimka habari ni kwamba amekwenda kupata chakula cha usku yeye na wagombea wengine.
 
Ngoma bado ni mbichi sana hii wakuu....Lolote laweza kutokea...

Msimbeze sana Nyamlani....

Ni makamu wa Tenga.....Tenga=Nyamlani=Osiah.......

Tenga na Osiah kamwe hawatakubali kitumbua chao kiingie mchanga, na walianza sarakasi tangu mchana lakini Mungu bado yupo na Malinzi......Na huu ndo wakati ambao #TeamMalinzi wanapaswa kuwa makini sana......Kosa moja magoli 10....
 
kumbe bado tu???


Sijajua hawa jamaa wanataka nini yani wametuondoa kabisa tuko ng'ambo ya pili,sijui wanataka wamfanye nini Malimzi huko ndani?!eti tokeni hapa mkae kule mbali kabisa!!!,mbona mwanzoni mlikuwa mnatumneleza?!
 

Sasa mbona watu wanatoa matoke hewa?

Wanayapata wapi??
 
unanikumbusha hakimu mmoja wa mikoani huko aliibiwa baiskeli yake basi kila ikija kesi ya wizi wa baiskeli anatembeza mvua nyingi huku akisema ndo walewale

Yaaani kazi wanayo kinondoni...
 
There are currently 718 users browsing this thread. (84 members and 634 guests)
 
Siku hizi Uchaguzi wa TFF umekuwa na mashamushamu...

Enzi za Muhidin na Aden ilikuwa panga pangua lazima washinde wao tu...
 
nasubiri bado iwe rasmi kesho niumwe ili nijipe holiday.
 

Nakubaliana na wewe 100 kww 100.
 
Wamekwisha na fitina!! Aisee jombaa kachape kazi maana mi nilihisi tungewekewa ------ kaka ake nchi imemshinda
 
Congrats Malinzi, sasa unatakiwa tu kuacha u' nshomile" otherwise utalimudu soka la bongo kwa mabadiliko uliyotuahidi!!! Kila la heri!
naanza sasa na wahaya. Kna thread ilikwa hapa juzi na jana inaongelea kuwabagua hawa watu kwa kabila lao. Sasa huyu hajaingia hata offisini masikini tayari ana u nshomile. Hii ndio nini sasa.
 
Sijajua hawa jamaa
wanataka nini yani wametuondoa kabisa tuko ng'ambo ya pili,sijui
wanataka wamfanye nini Malimzi huko ndani?!eti tokeni hapa mkae kule
mbali kabisa!!!,mbona mwanzoni mlikuwa mnatumneleza?!

mkuu, liwalo na liwe, hapo haki hadi itendeki, watu wanataka waendelee kubaki Tff kwa vivuli vya wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…