ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Huyu Ahmed Msafiri
Mgoyi wa kanda ya Tabora/Kigoma alitakiwa kupumzishwa lakini bahati
mbaya amerudi tena.
yan mlolongo wa tff kuhesabu kura kama miss tanzania bhana, ili mradi ifike usiku wa manane tu.
MATOKEO URAIS TFF
Malinzi 106 nyamlani 16
Ahahahahaa! Hivi kina Diamond na wengine kama THT hawakwenda Tff kutoa burudani?
He kumbe nimelishwa kasa!? We chililo ni mzandiki unastahili life ban.
Huyu Ahmed Msafiri Mgoyi wa kanda ya Tabora/Kigoma alitakiwa kupumzishwa lakini bahati mbaya amerudi tena.
Hujakosea mkuu ni product ya Mwampaja na Kachingwe
Kamati ya uchaguzi
maandalizi yao mabovu hii shughuli ilikuwa inaisha mapema tu jioni
lakini mizengwe mingi matokeo usiku wa manane utafikiri NEC
He kumbe nimelishwa kasa!? We chililo ni mzandiki unastahili life ban.
Is this for real...
Mwananyamala
Mailinzi kashatangazwa mshindi
Mailinzi kashatangazwa mshindi