Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

Uchaguzi Mkuu TFF - 27 Oktoba 2013: Jamal Malinzi Rais Mpya wa TFF!

He kumbe nimelishwa kasa!? We chililo ni mzandiki unastahili life ban.

Mkuu,kuna watu humu watakula ban kwa kuleta ushabiki usio na tija.yanini kutudanganya hapa ilihali kura zimeshapigwa? Kama hujui si bora kuwa mtazamaji then walioko mahala huska wakatupa kitu cha ukweli? Baadhi ya members humu wanaboa sana.
 
Kamati ya uchaguzi maandalizi yao mabovu hii shughuli ilikuwa inaisha mapema tu jioni lakini mizengwe mingi matokeo usiku wa manane utafikiri NEC
 
Members wa humu naona wameambukizwa kale kaugonjwa ka FB.
Kwani akina Madega waliokua wakigombea hizo nafasi za TFF ni wangapi?
maana naona mmoja kashinda na mwingine kashindwa.
 
Kamati ya uchaguzi
maandalizi yao mabovu hii shughuli ilikuwa inaisha mapema tu jioni
lakini mizengwe mingi matokeo usiku wa manane utafikiri NEC

hiv kinachochelewesha hasa ni nini mkuu? au ndio wanapga kura zao za siri zen tutangaziwe maajabu aliyosema mjengwa?
 
He kumbe nimelishwa kasa!? We chililo ni mzandiki unastahili life ban.

Mkuu,kuna watu humu watakula ban kwa kuleta ushabiki usio na tija.yanini kutudanganya hapa ilihali kura zimeshapigwa? Kama hujui si bora kuwa mtazamaji then walioko mahala huska wakatupa kitu cha ukweli? Baadhi ya members humu wanaboa sana.
 
Nchi hii imeharibiwa sana na siasa, kila kitu siasa hata kuhesabu kura 126 imekuwa siasa.

Ninyi Ccm na Chadema mnatuharibia hii nchi.
 
Back
Top Bottom