matimbanyula
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 268
- 120
Nimearifiwa kuwa Jamal Malinzi amechaguliwa kuwa Rais wa pili wa TFF. Hii ni baada ya kushinda katika uchaguzi mkuu wa TFF uliofanyika leo hii. Amemshinda Nyamlani.
Habari zaidi kufuata punde...
Katika uchaguzi huo uliokuwa na upinzani mkali,Malinzi ameibuka kidedea na sasa anatarajiwa kumrithi Leodgar Chilla Tenga kama Rais wa TFF. Hili ni pigo la wazi kwa CCM tuliokuwa tukimuunga mkono Mheshimiwa Hakimu Nyamlani
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Hakuna kitu kama hicho wewe.Mpira wa Tanzania umekufa.
Le Mutuz.......Wagombea wake wote tupa kule.....
Nyamlani, Mosha, Pinto........
Congrats Malinzi, sasa unatakiwa tu kuacha u' nshomile" otherwise utalimudu soka la bongo kwa mabadiliko uliyotuahidi!!! Kila la heri!
Hayo ni mawazo mafu, kwani Malinzi hana katiba inayomwongoza katika kazi zake? Acheni uchongaji fyongo, usishangae ukiona anaiua Yanga na kuinyenyua Simba ikiwa sheria za michezo zinafuatwa vema. Akifyongo malinzi anaishia, maana sasa macho mia mia juu yake.Simba kwisha habari yako. Malinzi yanga damu damu!
kuna watu walizungumzia kuwa niDED wa huko MvomeroMwenye wasifu wa huyu Wallace Karia anisaidie plz.
Yaah! anaitwa Jamal Malinzi