Teacher matokeo bado yanaweza kutolewa kwenyensaa 4 au 5 hivi usiku baada ya kuhesabiwa lakini sisi tutayapata mapema kabla ya kutangazwa na tutayaweka humu endelea kutulia tu hapa usichezecheze,ila Hali ni tete zile kura 85 alizokuwa nazo Malinzi hadi kwenye saa 7 mchana hivi zilianza kuyeyuka baada ya viburungutu kuingizwa ukumbini fedha ambazo zimadaiwa kutolewa na Tenga na wenzake ili kuhakikisha Nyamlani anashinda ili kuendelea kulinda maslahi yao.
Amekuwa akimsaidia Tenga kwa karibu katika kutekeleza majukumu yake.Huyo nyamalaini hafai amekuwa makamu mwenyekiti TFF muda wote amefanyanini?
Teacher matokeo bado yanaweza kutolewa kwenyensaa 4 au 5 hivi usiku baada ya kuhesabiwa lakini sisi tutayapata mapema kabla ya kutangazwa na tutayaweka humu endelea kutulia tu hapa usichezecheze,ila Hali ni tete zile kura 85 alizokuwa nazo Malinzi hadi kwenye saa 7 mchana hivi zilianza kuyeyuka baada ya viburungutu kuingizwa ukumbini fedha ambazo zimadaiwa kutolewa na Tenga na wenzake ili kuhakikisha Nyamlani anashinda ili kuendelea kulinda maslahi yao.
jf watu wengi wanaelewa hali halisiInavyoonekana member wengi humu JF wanapenda Malinzi ashinde, sasa ngoma ikienda tofauti basi wengi tutanywea kama tumeloweshwa maji baridi.
Ngoma bado mbichi, tuvute subira.
Kuna maslahi binafsi. TFF kwa sasa kuna mpunga mwingi, mtamu na msafi ile mbaya.Mkuu hivi Tenga anataka kuficha nini huko TFF?? Manake naona anatumia nguvu nyingi sana kuhakikisha hakimu mla rushwa Nyamlani anashinda.
jf watu wengi wanaelewa hali halisi
naendelea poa..hii kitu inagusa watu wengi japo inapigiwa kura na watu 125 tu na wengi wana njaa njaaWewe kaka unaendeleje? Mpaka unashabikia uchaguzi?
Kuna maslahi binafsi. TFF kwa sasa kuna mpunga mwingi, mtamu na msafi ile mbaya.
Tenga ni mjanja sana, anajua kula na vipofu, ni mzuri katika kuficha makucha yake.
Yeye na JK bado sijaona tofauti, bora wengine wachafuke lakini yeye abaki msafi.
Unakumbuka issue ya Kaijage?
naendelea poa..hii kitu inagusa watu wengi japo inapigiwa kura na watu 125 tu na wengi wana njaa njaa
Kweli mkuu?Malinzi kashinda kwa kura 120