LENGIO
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 1,096
- 508
Teacher matokeo bado yanaweza kutolewa kwenyensaa 4 au 5 hivi usiku baada ya kuhesabiwa lakini sisi tutayapata mapema kabla ya kutangazwa na tutayaweka humu endelea kutulia tu hapa usichezecheze,ila Hali ni tete zile kura 85 alizokuwa nazo Malinzi hadi kwenye saa 7 mchana hivi zilianza kuyeyuka baada ya viburungutu kuingizwa ukumbini fedha ambazo zimadaiwa kutolewa na Tenga na wenzake ili kuhakikisha Nyamlani anashinda ili kuendelea kulinda maslahi yao.
Tenga nae mwizi tuu wala hiyo nafasi hakuitendea haki.