Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawatatenda haki hata kidogo. Hata mwakani hawatatenda haki piaTumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
Atleast tumeona Dhamira ya Mama ni ile ile ya Dhulma kama Magufuli tu.Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
Ndio waliokata majina ya wagombea?😅😅😅Nani aliwakataza kujiandikisha Kwa wingi? 🐼
Bila machafuko tusitegemee mabadiliko yoyote. Ccm hawana uwezo tena wa kushinda kihalali, hivyo uhayawani pekee ndio nguzo yao.Hawatatenda haki hata kidogo. Hata mwakani hawatatenda haki pia
Mambo ya kishamba na kinafiki aliyoyaasisi Magufuli yataliharibu taifa hili kwa miaka mingi ijayo
Alaniwe Magufuli huko alipo
Wajiandikishe kwa wingi ili kwenda kujaza vituo kisha ccm wapore uchaguzi na kujifanya wanapendwa?Nani aliwakataza kujiandikisha Kwa wingi? 🐼
supidNani aliwakataza kujiandikisha Kwa wingi? 🐼
Supid ndio mbege ya wapi?supid
Mtu hawezi kucha asili yake. CCM asili yo ni uongo, wizi uuaji and the like! Sasa evidence wanatoa wao na si ile ya who alleges must prove, they are proving their ill intentions themselves!Atleast tumeona Dhamira ya Mama ni ile ile ya Dhulma kama Magufuli tu.
Mungu amemuumbua......alikuwa akitoa maneno matupu ya haki na amani majukwaani lakini sivyo alivyo moyoni.
Hili tumelifanikisha kwa ufasaha.
26 November 2024
Maputo, 2024
RAIS FELIPE NYUSI AKUTANA NA WALIOKUWA WAGOMBEA WA URAIS 9 OKTOBA 2024, KUTATUA MTAFARUKU NA MAANDAMANO YANAYOTISHI TAIFA
View: https://m.youtube.com/watch?v=Vs40GJ1G6tc
Wagombea urais uchafuzi wa Uchaguzi wa Mozambique 2024 wakutana na mheshimiwa rais Felipe Nyusi, mgombea Vincencio Mondlane hakujitokeza katika mazungumzo akihofia usalama wake
Rais Filipe Nyusi asema tulitoa uhakikisho kwa mgombea Venancio Mondlane lakini hakutokea.
Rais Felipe Nyusi amesema kukutana na wagombea urais wa uchaguzi wa tarehe 9 Oktoba 2024 ulilenga kufungua ukurasa mpya, baada ya matokeo hayo ya uchafuzi wa uchaguzi kutiliwa shaka.
Na sasa Mahakama ya Kikatiba inapitia lawama zote kuhusu mchakato, uandikishaji wapiga kura na uhesabuji wa kura kutokana na ushahidi uliowasilishwa kutilia shaka matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi wa Taifa na uchafuzi mzima wa mchakato kuelekea siku ya uchaguzi 9 oktoba 2024.
Mahakama ya Kikatiba inasema itatangaza hukumu yake kuhusu uchaguzi huo na matokeo yanayopingwa ifikapo tarehe 24 December 2024
HABARI ZA ZIADA:
CIP Uchaguzi wa Msumbiji 2024; Mondlane anakubali mazungumzo ya Nyusi, lakini si kwa siri
8:27 PAKA | 25 Nov 2024
0 Maoni Chapisha Shiriki
![]()
Picha ya faili: DW
Venancio Mondlane Ijumaa (22 Nov 2024) alikubali mwaliko wa Rais Nyusi Jumanne (19 Nov) kwa wagombeaji wanne wa urais kukutana.
- Mondlane anakubali mazungumzo ya Nyusi, lakini si mazungumzo ya siri - anataka majadiliano makubwa na ya wazi zaidi
Lakini alisema kuwa mkutano huo utajadili "suala la uhuru na haki za kimsingi [ambalo] si ukiritimba wa kipekee wa vyama vya kisiasa, na kwamba raia wote" lazima wawakilishwe. Anabainisha kuwa Nyusi hakupendekeza hadidu za rejea, jambo ambalo linawaacha wazi waalikwa wanne kufanya hivyo. Barua ya Mondlane iko kwenye https://bit.ly/Moz-El-VM7 na tafsiri isiyo rasmi kwa Kiingereza iko kwenye https://bit.ly/Moz-El-VM7-Eng
Anapendekeza kwamba watu wengine 15 ambao tayari “wameibua hadharani matatizo na changamoto mbalimbali na kuwasilisha masuluhisho yanayowezekana.”
Hii ni pamoja na Askofu Mkuu João Carlos Nunes, Severino Ngoenha ambaye tayari alikuwa amependekeza mkutano kama huo, majaji wa zamani wa Frelimo Teodato Hunguana na João Trindade, mwandishi Paulina Chiziane, na viongozi wa mashirika ya kiraia João Mosca, Adriano Nuvunga na Quitéria Guirringane. Pia anasema taasisi 8 za serikali kama vile Baraza la Katiba na bunge zinapaswa kuwakilishwa.
Pia anasema kwamba majadiliano lazima yaripotiwe kwa vyombo vya habari, angalau kwa muhtasari wa kila siku; ingawa baadhi ya mazungumzo yanaweza kufungwa.
Anasisitiza kwamba atashiriki tu kwa kiungo cha video. Na anadai taratibu zote za kisheria zinazoendelea dhidi yake ikiwa ni pamoja na amri za kukamatwa kwake na kuzuia akaunti zake za benki lazima zifutwe mara moja.
Pia anataka waandamanaji waliokamatwa waachiliwe.
Anapendekeza ajenda ya vipengele 20, kuanzia na haki ya uchaguzi na kuwafungulia mashtaka watu walioghushi nyaraka za uchaguzi. Inaendelea kujumuisha kubadilisha katiba, mageuzi ya kifedha, na utatuzi wa madai ya wataalamu kama vile walimu, madaktari na majaji.
Mwandishi wa BBC Ian Wafula anaripoti kuhusu maandamano ya uchaguzi, akianza na mazishi ya mvulana aliyepigwa risasi na kuuawa na polisi mjini Maputo wakati wa kupiga kelele kwa vyungu na sufuria. Tarehe 22 Novemba 2024
View: https://www.youtube.com/watch?v=sfXGwLjZDcI
Chanzo: Centro de Integridade Pública - CIP Eleições

Haya ndio huws hufanyika kwrnye hizi nchi za thitiholesMahakama ya Katiba limeripoti kwamba majaji wake, sita kati yao waliteuliwa na chama cha Frelimo, "wamekuwa walengwa wa vitisho, ikiwa ni pamoja na vitisho vya kuuawa" na limefafanua kuwa linaweza tu kutangaza washindi wa Uchaguzi Mkuu wa 7 na wa 4 wa Majimbo. kuanzia Desemba 24, 2024 kama gazeti @Verdade lilivyotarajia
Na kuua watu na wengine kupotea.Hakika uchaguzi wa serikali za mitaa TAMISEMI ni mchakato, leo unahitimishwa kwa kufikia mwisho wa zoezi refu la mchakato kwa kupiga kura na kuhesabiwa kisha kutangazwa
He is learning the Hardws