Pre GE2025 Uchaguzi ni mchakato, kama kujiandikisha, kuteuliwa, na kuapishwa kumekuwa na "madudu" sahau kuwa kesho kuna haki yoyote itatendeka kwa wapinzani

Pre GE2025 Uchaguzi ni mchakato, kama kujiandikisha, kuteuliwa, na kuapishwa kumekuwa na "madudu" sahau kuwa kesho kuna haki yoyote itatendeka kwa wapinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
27 November 2024
Dodoma, Tanzania

BI. AISHA MADOGA M/KITI CHADEMA DODOMA AWALIPUA MADUDU YA WASIO WAKAAZI KUPIGA KURA

View: https://m.youtube.com/watch?v=k5xyH9NdCEc

Watu wasioandikishwa waruhusiwa kupiga kura mjini Dodoma. CHADEMA mjini Dodoma walalamika mbele ya Polisi, jeshi la polisi limejitahidi kusikiliza madudu ..
 
27 November 2024
Geita, Tanzania

JOTO la UCHAGUZI GEITA -WANANCHI HAWAONI MAJINA -MSIMAMIZI wa UCHAGUZI ANGILIA KATI-AWAONESHA MAJINA...


View: https://m.youtube.com/watch?v=xfkt1P1cIow
Wapiga kura wahoji wahoji hakuna alphabeti, namba wapiga kura hawakupewa na pia katika ulimwengu wa kompyuta majina yapo shaghalabaga ...

Published September 18, 2024


2 Min Read
ad1cedd4-6b79-4af8-89e1-893f07341d7c-860x484.jpeg

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita ndg Karia Rajabu Magaro

Halmashauri ya wilaya ya Geita Maeneo ya Kiutawala Majina ya Mipaka ya Vijiji na Vitongoji katika majimbo mawili ya uchaguzi likiwemo Jimbo la Busanda na Jimbo la Geita katika kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024 yapo tayari pamoja na changamoto .

Msimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita ndg Karia Rajabu Magaro amekuwepo leo tarehe 27 November 2024 kusaidia kutoa maelekezo, lengo la kufanya vile ni kumfahamisha mwananchi kujua jina lilipo n.k
 
27 November 2024
Babati, Manyara

CHADEMA BABATI NI VILIO, MAWAKALA WAONDOLEWA VITUONI, MAGARI YA POLISI YAZINGIRA VITUO


View: https://m.youtube.com/watch?v=BIs7xwnE5WA

WAkili Tadey Lister wa CHADEMA mmoja wa mawakili wa CHADEMA kanda ya Kaskazini wamefika vituoni na kushuhudia mawakala wote wa CHADEMA wameondolewa vituoni pamoja na kuwa na barua ya kuapishwa ya uteuzi wa kuwa mawakala bila kufuata kanuni, sheria na taratibu.

Wasimamizi wanadai kuwa wanafuata maagizo ya mwanasheria wa Halmashauri huku wakifahamu hakuna sheria hiyo na kibaya hawanukuu kifungu anachokifuata msimamizi wa Uchaguzi katika vituo vya Babati mjini na vijji vilivyo viunga vya Halmashauri ya Babati mjini...
 
27 November 2024
Dodoma, Tanzania

BI. AISHA MADOGA HUU NDIO MSIMAMO WA CHAMA HII NI DHURUMA


View: https://m.youtube.com/watch?v=XQkbf1AP7fY

Akihojiwa kuhusu madudu katika kituo cha kupiga kura mjini Dodoma, mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Bi. AIsha Madoga asema mawakala wa CHADEMA jana na leo wamekataliwa kuapishwa na kugomewa kupewa barua ...
 
27 November 2024
Temeke, Dar es Salaam

Kituo cha Keko Manispaa ya Temeke jijini DSM, wameamua kususia zoezi la kusimamia uchaguzi TAMISEMI 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=nEf06wKB8tk

Mawakala wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Kituo cha Keko Machungwa Manispaa ya Temeke jijini Dar es Salaam, wameamua kususia zoezi la kusimamia uchaguzi wakidai fomu zao zimebadilishwa vituo na kupelekea kukosa uhalali wa kusimamia zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
 
27 November 2024
Mtaa wa Likotwa
Lindi

Makamu Mwenyekiti ACT Wazalendo ndugu Isihaka Mchinjita Awaasa Wananchi Kuendelea Kupambani Kura Zao, Hali Si Shwari TAMISEMI 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=4mZWfhUxSWM
Isihaka Mchinjita azungumzia matukio ya Lindi mjini mitaa ya RahaLeo 5, Likotwa, kijiji cha kilala Mchinga, Mafia na mitaa mingine nchini kote Wizara ya OR TAMISEMI imeshindwa kusimamia...

Hali ikiendelea hivi wananchi watakata tamaa kufuatia uchafuzi wa uchaguzi na nchi yetu iliyo na amani inaweza kutumbukia katika matatizo kama nchi zingine, hivyo serikali ijitokeze ...
 
27 November 2024
Mtaa wa Idrissa Magomeni
Magomeni
Dar es Salaam

UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA MITAA YA MAGOMENI, DAFTARI FEKI LAKAMATWA, MAJINA HAYAONEKANI, HIACE ZINASHUSHA WAGENI MITAA KUPIGA KURA


View: https://m.youtube.com/watch?v=ua6GZT5B2bM Naibu katibu mwenezi wa ACT wazalendo Bi. Shangwe Ayo akihojiwa


Viongozi wa ACT Wazalendo wapita vituoni mitaa ya Magomeni Dar es Salaam na kubaini madudu .... Naibu katibu mwenezi wa ACT wazalendo Shangwe Ayo hatuwezi kuwaelewa wasimamizi uchaguzi kuingiza kura hewa katika box ...

Mamia ya Watu wengi waliojitokeza shule ya msingi Mzimuni Magomeni watafuta majina na kutoka kapa ... wengine waondoka kurudi nyumbani ...
 
27 November 2024
Mtaa wa Kambangwa
Kinondoni DSM

MTAA WA KAMBANGWA WAPIGA KURA ZA NDIYO AU HAPANA

View: https://m.youtube.com/watch?v=eOweYiX19HE
Hayo yameelezwa na Meya Mnyonge Songoro manispaa ya Kinondoni diwani wa kata ya Mwananyamala mkaazi mtaa wa Kambangwa mjini Dar es Salaam, kwa sababu ni mgombea wa chama cha CCM ndiye aliyejitokeza kuwania uongozi mtaa wa Kambangwa
 
27 November 2024
Babati Mjini
Tanzania

CHADEMA Babati Mjini yalaani kuondolewa kwa mawakala 63

View: https://m.youtube.com/watch?v=rgfoTjJMFtg Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Babati mjini mkoani Manyara kimelalamikia kuenguliwa na kuondolewa kwa mawakala 63 katika vituo vya kupiga kura kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa madai ya mawakala hao kutokua na sifa...

wakili msomi Tadey Lister wa CHADEMA mmoja wa mawakili wa CHADEMA kanda ya Kaskazini anukuu vifungu vya sheria ya uchaguzi wa mitaa ambapo Halmashauri ya Babati mjini imekengeuka ..

Naye Shaaban .A. Mpendu Mkurugenzi wa Babati Mjini asema ametumia busara za kawaida ..kuengua baadhi ya wagombea ambao wanakofia ya pili ya uwakala ...

1732714868292.jpeg

Picha : msimamizi wa uchaguzi ndugu Shaaban .A. Mpendu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Babati Mjini mkoa wa Manyara
 
Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
Ndio maana wala sijiangaishi kupiga kura
 
27 November 2024
Kitongoji cha Kibingo 'A'
Mamlaka ya mji mdogo
Mwandiga Kigoma

KAULI NZITO ALIYOSEMA ZITTO KABWE BAADA YA KUPIGA KURA KIGOMA LEO TAMISEMI 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=9G6XQDNZqFs

Manispaa ya meneo ya Kigoma mjini, Mwandiga mji mdogo, Mwanga Sokoni, kata ya Katubuka ... washindani wa ACT Wazalendo waache kutegemea ushindi wa kura bandia ...
 
26 November 2024
Arusha, Tanzania

GODBLESS LEMA AKATA TAMAA ACHENI WAFANYE WANACHOTAKA KESHO TAREHE 27 NOVEMBER 2024


View: https://m.youtube.com/watch?v=fAe5SUZ_1JU
Pamoja na kufuata sheria zote, njama zimefanywa. Godbless Lema tunamuachia Mungu na jibu lake litakuwa kubwa...CCM wameingia hofu kuu .. kesho 27 November 2024 kushindwa uchaguzi ukiwa huru, wa haki na ulio wazi.
 
27 November 2024
Tarime Mara,
Tanzania

HALI ILIVYO ZOEZI LA UCHAGUZI TAMISEMI 2024 TARIME

View: https://m.youtube.com/watch?v=t-0Um8HA8gk
Halmashauri ya Tarime Mitaa ya Iganana, Sabasaba, Songambele, Kimusi, Mkuyuni n.k hali ilivyo mkoani Mara huku msimamizi msaidizi akimbia vyombo vya habari kukacha kuhoji
 
Tumeona ukiukwaji mkubwa katika kujiandikisha, kuenguliwa wapinzani, /kuteuliwa. kuwekewa mapingamizi ya uongo na kweli, kuapishwa wamekataliwa, sasa UPINZANI mnadhani kesho ndiyo CCM watatenda haki?
 
27 November 2024
Keko Machungwa
Temeke DSM

KUMECHAFUKA!! CHADEMA WASUSIA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA / WAWATOA MAWAKALA WAO WOTE VITUONI KEKO Dar es Salaam, Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=4W757KO6PCc

Benito Mwapinga mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Temeke akiongea na waandishi wa habari kubainisha madudu katika uchafuzi wa uchaguzi serikali za mitaa TAMISEMI 2024 ... mtendaji wachezea barua na kuunda vituo vipya ...
 
27 November 2024
Arusha, Tanzania

Amani Golugwa katibu wa chama cha CHADEMA kanda ya Kaskazini azungumza mazito


View: https://m.youtube.com/watch?v=Zr2ZxRIy7eM
Amani Golugwa ni mtendaji mkuu wa kanda ya Kaskazini CHADEMA asema mawakala Babati Mjini, Arusha, Muheza, Moshi, Manyara ni vituko na madudu ...
 
Back
Top Bottom