Uchaguzi October 2025: Tukapige kura kuzilinda Simba na Yanga dhidi ya wanaotaka kuzifuta

chiembe

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2015
Posts
20,711
Reaction score
31,331
Kuna chama cha siasa kimejiapiza kuzifutq Simba na Yanga endapo kitaingia madarakani. Ili kuonyesha mshikamano na upendo kwa klabu hizi. Tukapige kura zitakazowapa ujumbe sawia Chadema
 
kwan hao chadema si hawapo wamesusa
 
Kuna chama cha siasa kimejiapiza kuzifutq Simba na Yanga endapo kitaingia madarakani. Ili kuonyesha mshikamano na upendo kwa klabu hizi. Tukapige kura zitakazowapa ujumbe sawia Chadema
Tumejiandikisha kupiga kura ili kupata VITAMBULISHO.
Huwezi kupiga kura. Kama una akili TIMAMU Wakati unajua utakayemchagua hata TANGAZWA
TISS
POLISI
WALIMU
Hawa wakisimia uchaguzi kushirikiana na TUME CCM itatangazwa mshindi kwa 100%
Yanini kupiga kura sasa
 
Tumpigie nani sasa hizo kura, ccm, adc, act wazalendo, dp au chama gani?
Em tumpe muongozo
 
Kuna chama cha siasa kimejiapiza kuzifutq Simba na Yanga endapo kitaingia madarakani. Ili kuonyesha mshikamano na upendo kwa klabu hizi. Tukapige kura zitakazowapa ujumbe sawia Chadema
Tunakuunga mkono.wakati wa mechi wa timu hizi kunakuwa na mzunguko wa pesa.kuanzia bodaboda,dalalala,bajaj,Taxi,mama lishe,Baba lishe,nyumba za wageni,wamachinga na mabasi kutoka mikoani.
 
Kuna chama cha siasa kimejiapiza kuzifutq Simba na Yanga endapo kitaingia madarakani. Ili kuonyesha mshikamano na upendo kwa klabu hizi. Tukapige kura zitakazowapa ujumbe sawia Chadema
Timu hizi hazifutiki
 
Back
Top Bottom