asiyetabirika
Member
- Oct 14, 2019
- 46
- 56
kata gani?Kwenye kata yangu kwa siku 7 zote wagombea wa CHADEMA walifanya kila waliwezalo kupewa fomu za kugombea na ikashindikana!! Hakuna anayelalamika bali watu wanaelezea hali halisi ilivyokuwa!!
Labda Mwenyekiti wa Chadema aliagiza wakosee who knows?Wakati mwingine ujanja ujanja hufanyika kwa mahesabu, lakini safari hii in hatari! Hebu fikiria karibu nchi nzima kosa la upinzani linafanana, kujaza form vibaya! Ukienda Kagera, Kigoma, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro! Hii inakuwaje kama siyo maagizo yakutoka juu ya namna ya kudeal na form za wapinzani! Unapokula Na kipofu angalia usimguse mkonp
umewasiliana na mwenyekiti wa chadema longido?Hao ndio walioruhusiwa na watendaji kuchukua, baada ya hao wawili kuchukua waliokusudiwa na watendaji kwa mjibu ya maelekezo waliopewa na CCM, milango ilitiwa lock na watendaji walitimua mbio kama vifaru vya Iddi amini vilivyokoswakoswa na makombora ya Nyerere.
Kwa nini unadhani ni maagizo ya Mwenyekiti na siyo katibu ambaye ndiye mtendaji? Hata nikikutajia ni kata gani hutaelewa. Barua yangu iko mezani kwa Jafo na haijafanyiwa kazi. Ilikuwa ni maelekezo!!Labda Mwenyekiti wa Chadema aliagiza wakosee who knows?
umewasiliana na mwenyekiti wa chadema longido?
Upi mbona mmewazuia kurejesha fomuUchaguzi huu utathibitisha ukweli kuwa Tanzania haina wapinzani na hawa waliopo ni Wajasiriasiasa......wanasaka fursa tu wapate kuishi!
No democracy in Tanzania.
Karibu nchi nzima wameenguliwa