Wanajamvi Salam, Leo ndioile siku tuliokuwa tukiisubili kwa hamu ili tuone zile shamrashamra zirizo zoeleka kwenye siku Kama hii ya uchaguzi,
Rakini Cha kushangaza hata Ware wafuasi was chama tawala hawakuonyesha darili yoyote ile inayoashilia kuwa Leo kwao ndio siku muhimu ya kuwapata viongozi wao,
Badala yake kilammoja alikuwa bisy na Mambo yake,
sasa je nikweli watanzania waliowengi wameamua kupotezea siku yaleo kamanjia raihisi ya kufikisha ujumbe kwa waitendao haki!
Au ikiwa waliowengi wamepuuza uchaguzi huu Basi tukubaliane kuwa hii niishara tosha kuwa watanzania wengi niwaumini wa vyama vya upinzani, nawazatu.[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]