Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

24 Nov 2019
Sheikh atoa tahadhari - 'Demokrasia imedumaa'
Kaimu Msemaji wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Nchini Sheikh Rajabu Katimba amesema kuwa kwa sasa demokrasia imedumaa na kwamba ipo haja ya viongozi wa kisiasa nchini kukaa meza moja kuzungumza.

Source: MwanaHALISI TV
 
Sheikh Ponda : Demokrasia imeshuka na kufubaa chini ya awamu hii

Hali hiyo pia imefika hata kwa viongozi wa dini kuwa waoga kukemea hali ilivyo sasa kisiasa na kuwataka watanzania kushiriki ktk uchaguzi usio halali kidemokrasia ktk nchi ya vyama vingi amedisitiza Sheikh Ponda.
 
Wanajamvi Salam, Leo ndioile siku tuliokuwa tukiisubili kwa hamu ili tuone zile shamrashamra zirizo zoeleka kwenye siku Kama hii ya uchaguzi,

Rakini Cha kushangaza hata Ware wafuasi was chama tawala hawakuonyesha darili yoyote ile inayoashilia kuwa Leo kwao ndio siku muhimu ya kuwapata viongozi wao,

Badala yake kilammoja alikuwa bisy na Mambo yake,

sasa je nikweli watanzania waliowengi wameamua kupotezea siku yaleo kamanjia raihisi ya kufikisha ujumbe kwa waitendao haki!

Au ikiwa waliowengi wamepuuza uchaguzi huu Basi tukubaliane kuwa hii niishara tosha kuwa watanzania wengi niwaumini wa vyama vya upinzani, nawazatu.[emoji33][emoji33][emoji33][emoji33]
mwambie Miss natafuta
 
November 24, 2019
Sumbawanga, Tanzania

Leo hii tumeona serikali za mitaa na vijiji vimepata viongozi wa kuteuliwa na siyo wa kuchaguliwa na wananchi wenyewe.

Hayo ni maoni baada ya uchaguzi wa serikali ya mitaa mjini Sumbawanga na nchini pote kuharibiwa na CCM .

Source: Chadema Media TV
 
Wazee wa mkoa wa Dar es Salaam waonya mienendo ya awamu ya 5 ya CCM ni hatari


Source: CHADEMA MEDIA TV
 
Hii nisawa na kucheza match ya mpila wa miguu ambayo haina mashabiki uwanjani hata ukiahinda goli hakuna wa kukushangilia upo mwenyewe tu hakuna hamasa wala bashasha.
 
1574632614880.jpeg
 
Back
Top Bottom