Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Wapinzani kupinga kila kitu ndiyo justificatio ya watendaji wenu kuwakata wagombea wote wa upinzani ili ccm wapite bila sanduku la kura???Wapinzani wanavuna walichopanda waliwekeza kwenye siasa za mitandaoni na kupinga kila kitu
Hayo matokeo yamebandikwa saa tisa usiku nchi nzima ofisi zimeefungwa watendaji wamekimbia hakuna wakujibu kuhusu vigezo vilivyotumikaNdiyo maana mwanzoni mwa post yangu nikahimiza tuone vigezo vilivyotumika kuwatimua...!!!
Kumbe ehe?Watakuwa hawana sifa
Thubutu.kuna mahala mgombea wa chama tawala ameenguliwa? tusaidieni wakuu
Daudi wewe umejiandikisha?MwanaCCM unaona rahaa mwenyewe roho yako kwatuu
Swali la msingi sana hili! Inabidi walitafakari vizuriKwani hawa watendaji wa kata/mitaa huwa wanaishi wapi??
SASA UTAENDAJE KUPIGA KURA WAKATI CCM IMESHAPITA BILA KUPINGWA? NAMAANISHA HAKUNA TENA UCHAGUZI.Halafu nimsikie kiongozi yeyote wa CHADEMA anasema twende kupiga kura, aisee nitamzaba vibao kuzidi vile alivyozabwa Mzee Warioba na Bashite, kaeni kimya kabisa
Wewe ni mjinga zaidi ya ujiitavyo jingalao.Naona wanalongido wameamua kutoa zawadi baada ya kupelekewa mradi mkubwa wa maji ...Sasa wenyeviti wa vijiji vyote watakuwa ni CCM.
CCM OYEE!!