Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Wapinzani wanavuna walichopanda waliwekeza kwenye siasa za mitandaoni na kupinga kila kitu
Wapinzani kupinga kila kitu ndiyo justificatio ya watendaji wenu kuwakata wagombea wote wa upinzani ili ccm wapite bila sanduku la kura???
 
Roving Journalist,
Huu ni mwanzo mzuri na una akisi uchaguzi wa mwaka ujao ambapo hakutakuwa na mpinzani hata mmoja. Na Tanzanite TV itakuwa ishazinduliwa naona leo TCRA wameip kibali. Vifaa vishanunuliwa tayari.

Kwa hio ni mwendo wa ndiyo baaaaaa.

Na bungeni katiba inabadilishwa hakuna ukomo.

Itaanzia kwa mkulima atashinda kesi yake.
Then bunge litafuta ukomo wa urais.
Then Magufuli anakuw Rais wa maisha.
Anayepinga wanaua kama Ben Saanane.

Patamu hapo.
 
Naona wanalongido wameamua kutoa zawadi baada ya kupelekewa mradi mkubwa wa maji. Sasa wenyeviti wa vijiji vyote watakuwa ni CCM.
CCM OYEE!!
 
Nahisi uoga wetu Watanzania ulianza pale bendera yetu ilipokosa rangi nyekundu, huu unaweza kua wakati muafaka kwa namna yoyote ile kuongeza rangi

Inakera sana moyoni sipendi hivyo lakini why serikali na CCM kufanya namna hii😢

Hivi yale makundi ya kazi yako wapi? Zitumike hata trick za kisniper
 
Upinzani msipogomea uchaguzi nawapa kura yangu ccm,haiwezekani figisu zote hizi halafu viongozi mnajifanya hamuzioni
Nalog off
 
Aibu sana kwa taifa.Wapinzani sijui tuwaambie mara ngapi, kuweni na plan B,strategize and come up with contingency. Wapinzani mna watu wenye clout, mobilise the masses kudai tume huru na katiba mpya,msishiriki kwenye hizi sham elections,it is a farce kabisa, mnawapa wapuuzi legitimacy!
 
Demo Ghasia!!!😀😁😂😃😄😅
Mke Wangu Angekuwa Hajazeeka Tungekunywa Tuzae
Mapacha Lakini Vijana Kunyweni Maji Mzae
 
Hivi kuna wilaya yenye wananchi wenye shida kama Longido? Eee Mungu wa Isaka Mungu wa Musa Mungu wa Esau, hizi laana hizi Aisee zitawatafuta hadi vizazi vyenu vya 100.

Nilitarajia wilaya zenye Maendeleo ndo CCM ipite bila kupingwa ila cha ajabu inapita bila kupingwa sehemu ambayo umasikini ni wa kutisha.
 
Bila kupingwa!
Screenshot_20191016-224559-picsay.jpeg
 
Naona wanalongido wameamua kutoa zawadi baada ya kupelekewa mradi mkubwa wa maji ...Sasa wenyeviti wa vijiji vyote watakuwa ni CCM.
CCM OYEE!!
Wewe ni mjinga zaidi ya ujiitavyo jingalao.
Kwa nini ofisi zilifungwa wakati wa urejeshaji fomu?
IMG_20191105_205108_366.jpg
 
Ukiangalia kanuni za uchaguzi tarehe ya uteuzi ni tarehe 07/11/2019 lakini tumeona watu wamezhateuliwa hats kabla ya tarehe Yenyewe ya uteuzi mbona inashangaza?

Pia katika kanuni hiyohiyo mapingamizi huwa wanawekeana wagombea kwa wagombea baada ya fomu kubandikwa katika ubao was matangazo lakini uchaguzi huu wasimamizi ndio wameweka pingamizi na kuenguwa watu kanuni hii wameitoa wapi?

Maagizo walioyapokea pale magogoni watendaji wamebugi kwani tarehe ya uteuzi bado haijafika in tarehe 07/11 kwa mujibu was kalenda ya tamisemi
 
Back
Top Bottom