Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Jiji la mbeya kati ya mitaa181katika uchaguzi wa serikali za mitaa ccm imejinyakulia mitaa 152 ambapo imepita bila kupingwa.
FB_IMG_1572985147155.jpeg
 
Nawashangaa mpaka sasa hivi hamjajitoa kwenye huo uchaguzi wa serikali za mitaa.
Nini ambacho hamkioni hapo? Hebu acheni ujinga jitioeni waendelee kujipitisha wenyewe mioyo yao ya kishetani ifurahi.
 
Wakijitoa hasara kwa nani ,ukisusa kumla sisi twala


State agent
 
Watanzania tuamke tunafanywa wajinga uyu msukuma ametuona watanzania wajinga kiasi hiki kweli kuna vitu vinauma sana uyu mzee mbona anatuzarau sana yani katuona wapumbafu kupita maelezo

Kweli Tanzania imefikia hatua hii kweli yani yeye anataka jifanya mungu mtu anataka uamunisha ulimwengu yeye hana tatizo jamii inamkubali kweli hapana this is too much inauma tena sana
 
Mwelekeo wa matokeo ya Serikali za mitaa ni ushahidi tosha kuwa Rais Anaungwa mkono na 99% ya Watanzania wanamuelewa sana utendaji kazi wake anajituma anatembea juani kila mara kutatua shida za wananchi zawadi kubwa watakayompa ni kukiunga mkono CCM
 
Wapinzani ni watu wa malallamiko siku zote wameshazoeleka sasa wanasema kuna walioenguliwa wakiopata wao wamefanyaje na ni haohao wapinzani wenzao?
Kwa mujibu wa takwimu hapo juu hakuna hata mmoja aliyepata kwahiyo badili mtazamo wako
 
Kama mbinu ya kushinda kwa kishindo namna hii walikuwa nayo kwa nini serikali ililazimisha watu kwenda kuniandikisha hasa watumishi na kupoteza fedha nyingi kwa kuongeza muda wa kujiandikisha?
 
Roving Journalist, [
Hii ni zaidi ya hatari, maana huu sasa sio uchaguzi bali ni uchafuzi. Na wanaofanya uchafuzi wa aina hii inaonesha wamekusudia kuiingiza nchi katika matatizo na kweli wamefanikiwa, kilichobaki ni maombi tu.
 
Jiji la mbeya kati ya mitaa181katika uchaguzi wa serikali za mitaa ccm imejinyakulia mitaa 152 ambapo imepita bila kupingwa.View attachment 1255081
Huu siyo uchaguzi bali ni ujinga wa CCM hakuna haja ya kupoteza mda CCM watangaze moja kuwa mfumo wa vyama vingi umekufa rasmi sasa CCM kimeamua kutawala kimabavu kama enzi ya makabulu wa Africa kusini
 
Back
Top Bottom