Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Kamanda Mbowe toa tamko watu tuingie road kudai haki zetu au jiuzuru mara moja
 
Kuanzia sasa Tuache kulipa kodi kwa hii serikali ya mtu mmoja anayejiita Mwenye Nchi mimi nitaanza kukataa kulipa kodi, hao wenyeviti wanaowateua hatutawapa ushirikiano mitaani kwetu kuanzia leo mwenyekiti akija kugonga Getini kwangu kwa swala lolote lile iwe la sijui kuchangia nini kitendo cha kugusa Geti Langu Nitamchukulia kama mwizi Nitamkata mikono na bora nifungwe ila lazima nije nimtie mtu kilema cha maisha NAAPA kwa jina la BABA MWENYEZI MUNGU
 
NASUBIRIA TAMKO HAPA TUINGIE BARABARANI ACHA WATUUE NA BUNDUKI NA MAJI YA WASHAWASHA
 
Mimi nikashangaa eti watu wameenda kujiandikisha kupiga kura... Ni kpoteza muda tuu....

Huu ni ujnga wa kiwango wa juu kabisa
 
Kwani hawa watendaji wa kata/mitaa huwa wanaishi wapi??
Hii hali inatishia amani,Tanganyika kumekucha,Safari ya demokrasia inaanza kuonesha ugumu wake.
Sasa Tanganyika siasa zimeanza Kupevuka.Huku Zanzibar tulikuwa nayo hayo 19's na 2000's
Kuweni makini, Lindeni haki za Watoto na wanawake majumbani.
 
Greataziz,
Vunja kiapo chako kwa Jina La Mungu wa Mbinguni tafadhali.
Acha Hasira
Acha hasira
Acha hasira Ndugu.

Mimi ni Mzanzibari nduguyo, sisi tumefikwa na makubwa zaidi ya hayo.
Na tunaendelea Kuvumilia, kwani hii nchi ni yetu Mwivi huvinjari kwa muda tu, hatimae hutiwa nguvuni.

Kwani Hasira ni mnyororo wa shetani na mwishowe huwa hasara na majuto.
Tazama Nuru ileee! yaja,lakini nuru huonekana vyema penye Giza, wacha giza litande kwanza.
 
Hiyo hapo chini ni form ya mgombea wa CHADEMA lakini baada ya kukata imekutwa imeongezwa kwenye mwaka 1979, wao wameongeza '0' na kwenye jina la Hamimu ,wameongeza 'u'. Huku wengine wameombiwa form zao zimekata kwa sababu awana namba ya anuwani .ila mchezo mlioucheza auchezeki

Watendaji wa kata kumbukeni amtoweza kuinyamazisha sauti yenye machozi ata siku moja iyo amri mliyopewa atoweza kuzaa matunda

FB_IMG_1573030377750.jpg
 
Safi sana
Kuna wakati unaona aibu kuwa Mtanzania. Nchi za dunia ya kwanza wana kila aina ya maendeleo still viongozi wao wanapatikana through competitive way. Hapa kwetu mtu kachota hazina kwenda kununua ndege kwa cash (ulimbukeni) Eti anataka asipingwe. Akuna chenye mwanzo kisicho na Mwisho.
 
Back
Top Bottom