pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Pingamizi wamewekewa na shetani mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sugu tayari keshawashiwa indicator ya gari ya CCM ku overtake .2020 Sugu atafute kazi ingine ya kufanyaJiji la mbeya kati ya mitaa181katika uchaguzi wa serikali za mitaa ccm imejinyakulia mitaa 152 ambapo imepita bila kupingwa.View attachment 1255081
Hii hali inatishia amani,Tanganyika kumekucha,Safari ya demokrasia inaanza kuonesha ugumu wake.Kwani hawa watendaji wa kata/mitaa huwa wanaishi wapi??
Ohoooo we ndo mmoja wa wale maskini wa akili na mali. Hv kwa akili ya kawaida mgombea anaeza kosea kuandika mwaka wake wa kuzaliwa kizembe hvyo??.Mpo kwenye Mazishi ya upinzani na mkae EDA kwa muda mtaibuka 2024 hivi walau mpate akili sio hizi
Poleni kwa msiba mzito wa upinzani uchwala
Kuna wakati unaona aibu kuwa Mtanzania. Nchi za dunia ya kwanza wana kila aina ya maendeleo still viongozi wao wanapatikana through competitive way. Hapa kwetu mtu kachota hazina kwenda kununua ndege kwa cash (ulimbukeni) Eti anataka asipingwe. Akuna chenye mwanzo kisicho na Mwisho.Safi sana
Mpo kwenye Mazishi ya upinzani na mkae EDA kwa muda mtaibuka 2024 hivi walau mpate akili sio hizi
Poleni kwa msiba mzito wa upinzani uchwala