Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Nimehisi kutokwa chozi kutokana na hii comment yako. Asante mkuu:
be a MAN of reflection.GOOD THINGS come after excess use of oppression,power and force.Hence people work up all together and say NO MORE, This is a wake up call for all Tanzanians.
CCM ni mbaya hata kwa wana CCM wenyewe. lakini wacha wahakiki ubaya wao kwa taifa.
 
Magufuli anaiharibu nchi yetu, itakuwa ni UJINGA MKUBWA kuendelea kulipa kodi kwenye hii Serikali aliyojimilikisha MTU MMOJA tu.
 
Siku zote machafuko hutokea kwa sababu ya uonevu. Just wait!
 
.... aisee ni kweli CCM wanachakachua, shame on them!
 
Mgombea akikosea kujaza kwani hakuna anayehakiki?

Kwani ni mtihani huo kwamba mtu akikosea ndio ishatoka hiyo?

Hii sababu ya fomu kukosewa kujazwa ni sababu moja ya kipuuzi sana kwenye nchi inayofuata mfumo wa "demokrasia"
 
Hiyo hapo chini ni form ya mgombea wa CHADEMA lakini baada ya kukata imekutwa imeongezwa kwenye mwaka 1979, wao wameongeza '0' na kwenye jina la Hamimu ,wameongeza 'u'. Huku wengine wameombiwa form zao zimekata kwa sababu awana namba ya anuwani .ila mchezo mlioucheza auchezeki

Watendaji wa kata kumbukeni amtoweza kuinyamazisha sauti yenye machozi ata siku moja iyo amri mliyopewa atoweza kuzaa matunda

View attachment 1255416
Ondoa shaka mkuu , kila aliyehusika atalipwa kwa kiwango anachostahili
 
Halafu kiazi kama ww ndio unacopy post za my son drink water kisha unajifanya unaweza kumjua user! Hizo siasa za kihanithi ndio zitaua chama kama cdm?
Halafu kanatumia tecno Y3 hadi leo
 
Ondoa shaka mkuu , kila aliyehusika atalipwa kwa kiwango anachostahili
Tatizo wapinzani na nyie wapole sana mnaonekana mlishajikatia tamaa kabisa...nchi nyingine hapa wapinzani hawawezi kuwa kimya hadi muda huu..cha kushangaza hata Mbowe hajatoa tamko lolote hata la kulaani hadi sasa
 
maelekezo toka kwa Jiwe;
inaonekana nchi nzima walipewa semina elekezi jinsi ya kuchakachua..

natamani ije siku Mikono ya jiwe ivishwe pingu, aonje joto la jiwe...
 
Kwa tuliofanya kazi na wanakijiji hii siishangai ni kawaida kabisa kukosea kuandika. Sasa kwakua hii ni vita ya kisiasa ukiona mtu kakosea kuandika unamuacha hivo hivo na ukilaza wake ili akaenguliwe mbele huko. Pia hawa vilaza ukiwasaidia kurekebisha walipokosea baadae huwa wasumbufu sana maana kuandika hawajui ila mdomoni wanaongea sana kama wake wenza.
 
Back
Top Bottom