Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu walikuwa hawatilii maanani kuhusu figiso figiso za uchaguzi sasahivi wamejifunza mengi sanamaelekezo toka kwa Jiwe;
inaonekana nchi nzima walipewa semina elekezi jinsi ya kuchakachua..
natamani ije siku Mikono ya jiwe ivishwe pingu, aonje joto la jiwe...
Utaambiwa hao ndiyo wazalendo wa kweli. na ndiyo maana watu walikuwa hawataki kwenda kujiandikishaInaonekana waadilifu ndani ya nchi yetu wamebaki wachache sana. Hofu ya Mungu haipo kabisa. Niombe tu wenye msituhofu binadamu wenzenu wr have nothing to do for you but fear the Heaven God.
Unadhani kwamba uchaguzi unaifanya pekeyako wakati wake zetu na watoto wetu ndo wanafanya haya na wanakuja kutueleza baadae.Mpo kwenye Mazishi ya upinzani na mkae EDA kwa muda mtaibuka 2024 hivi walau mpate akili sio hizi
Poleni kwa msiba mzito wa upinzani uchwala
Unaonekana hujui hata unachoandikaChadema na upinzani hata kuja form hawajui
State agent
Bora ufanye uchunguzi ndo uongee kweli Chadema Tanzania nzima hawajui kujaza fomuChadema na upinzani hata kuja form hawajui
State agent
Hii ishu mi ya wananchi wote na wewe ukiwepo, hakuna sehemu wala nchi yoyte ile ambayo wapinzani walifanikiwa bila sapot ya wananchi wake. wewe kama unadhani wapinzani ambao ni wanasiasa ndo wanapoteza basi umepoteza zaidi yao.Tatizo wapinzani na nyie wapole sana mnaonekana mlishajikatia tamaa kabisa...nchi nyingine hapa wapinzani hawawezi kuwa kimya hadi muda huu..cha kushangaza hata Mbowe hajatoa tamko lolote hata la kulaani hadi sasa
Chadema na upinzani hapo bado sijakuelewa bora ugelisema CCM na upinzaniChadema na upinzani hata kuja form hawajui
State agent
Hapo ndipo utajua yaliyopo huku mtandaoni ni uongo wa mchana mchana. CHADEMA Ni chama chenye viongozi timamu kiakili. Hatujasikia Mbowe wala Makene wakitoa taarifa zozote. Tunalishwa matango pori. Naamini haya yanayozungumzwa humu hayapo!Tatizo wapinzani na nyie wapole sana mnaonekana mlishajikatia tamaa kabisa...nchi nyingine hapa wapinzani hawawezi kuwa kimya hadi muda huu..cha kushangaza hata Mbowe hajatoa tamko lolote hata la kulaani hadi sasa
Mpo kwenye Mazishi ya upinzani na mkae EDA kwa muda mtaibuka 2024 hivi walau mpate akili sio hizi
Poleni kwa msiba mzito wa upinzani uchwala
Yule muuza bar kama wewe ndio mnajiita upinzani,bado sana
State agent
Endelea kuota mkuu!! Watanzania wamewakataa anzeni upya!Kuna wakati unaona aibu kuwa Mtanzania. Nchi za dunia ya kwanza wana kila aina ya maendeleo still viongozi wao wanapatikana through competitive way. Hapa kwetu mtu kachota hazina kwenda kununua ndege kwa cash (ulimbukeni) Eti anataka asipingwe. Akuna chenye mwanzo kisicho na Mwisho.
We kenge tuMpo kwenye Mazishi ya upinzani na mkae EDA kwa muda mtaibuka 2024 hivi walau mpate akili sio hizi
Poleni kwa msiba mzito wa upinzani uchwala