Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

maelekezo toka kwa Jiwe;
inaonekana nchi nzima walipewa semina elekezi jinsi ya kuchakachua..

natamani ije siku Mikono ya jiwe ivishwe pingu, aonje joto la jiwe...
Watu walikuwa hawatilii maanani kuhusu figiso figiso za uchaguzi sasahivi wamejifunza mengi sana
 
Inaonekana waadilifu ndani ya nchi yetu wamebaki wachache sana. Hofu ya Mungu haipo kabisa. Niombe tu wenye msituhofu binadamu wenzenu wr have nothing to do for you but fear the Heaven God.
Utaambiwa hao ndiyo wazalendo wa kweli. na ndiyo maana watu walikuwa hawataki kwenda kujiandikisha
 
Mpo kwenye Mazishi ya upinzani na mkae EDA kwa muda mtaibuka 2024 hivi walau mpate akili sio hizi

Poleni kwa msiba mzito wa upinzani uchwala
Unadhani kwamba uchaguzi unaifanya pekeyako wakati wake zetu na watoto wetu ndo wanafanya haya na wanakuja kutueleza baadae.
 
Tatizo wapinzani na nyie wapole sana mnaonekana mlishajikatia tamaa kabisa...nchi nyingine hapa wapinzani hawawezi kuwa kimya hadi muda huu..cha kushangaza hata Mbowe hajatoa tamko lolote hata la kulaani hadi sasa
Hii ishu mi ya wananchi wote na wewe ukiwepo, hakuna sehemu wala nchi yoyte ile ambayo wapinzani walifanikiwa bila sapot ya wananchi wake. wewe kama unadhani wapinzani ambao ni wanasiasa ndo wanapoteza basi umepoteza zaidi yao.
Leo viongozi wa ovyo wataanza kuwaumiza baada ya haya matatizo mnayoyaona alafu mnataka watu wachache ambao ni wapinzani ndo wawapigie kelele.
 
Tatizo wapinzani na nyie wapole sana mnaonekana mlishajikatia tamaa kabisa...nchi nyingine hapa wapinzani hawawezi kuwa kimya hadi muda huu..cha kushangaza hata Mbowe hajatoa tamko lolote hata la kulaani hadi sasa
Hapo ndipo utajua yaliyopo huku mtandaoni ni uongo wa mchana mchana. CHADEMA Ni chama chenye viongozi timamu kiakili. Hatujasikia Mbowe wala Makene wakitoa taarifa zozote. Tunalishwa matango pori. Naamini haya yanayozungumzwa humu hayapo!
 
Upinzani siyo wachwara,wangekiwa wachwara mngewaachia wananchi wachague,kama niupinzani uchwara,nguvu mnayotumia tote hiyo ya nini? Nyie ndiyo ccm uchwara
Mpo kwenye Mazishi ya upinzani na mkae EDA kwa muda mtaibuka 2024 hivi walau mpate akili sio hizi

Poleni kwa msiba mzito wa upinzani uchwala
 
Kwa nn hao watendaji wasichomewe nyumba kila mmoja tuone kama hawatakaa sawa.
 
Kuna wakati unaona aibu kuwa Mtanzania. Nchi za dunia ya kwanza wana kila aina ya maendeleo still viongozi wao wanapatikana through competitive way. Hapa kwetu mtu kachota hazina kwenda kununua ndege kwa cash (ulimbukeni) Eti anataka asipingwe. Akuna chenye mwanzo kisicho na Mwisho.
Endelea kuota mkuu!! Watanzania wamewakataa anzeni upya!
 
Nadhani ni jambo zuri sana serikali imeshatambua kuwa haipendwi pamoja na makelele mengi ya reli na mindege na uwanja wa chatom.
 
Kwa nini uchaguzi huu usifanyike kwa kufuata sheria?. Inasikitisha sana kama kweli Tanzania ni nchi ya kidemokrasia.
 
Kwa nini uchaguzi huu usifanyike kwa kufuata sheria?. Inasikitisha sana kama kweli Tanzania ni nchi ya kidemokrasia.
 
Back
Top Bottom