KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
@kulumaliyawananch, Serikali yenye vyama Vingi ni serikali legelege na inakuwa haina maamuzi magumu. Piga kazi mzee Baba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leteni taarifa ya mwenyekiti wa Chadema longidoKumbe Ni JingaLao!!. Basi Acha Tu Niendelee Na Mambo Mengine.
Leteni taarifa ya mwenyekiti wa Chadema longidoKumbe Ni JingaLao!!. Basi Acha Tu Niendelee Na Mambo Mengine.
Inawezekana Ni kweli, lakini watendaji walijificha muda wote hiyo sio siri...Leteni taarifa ya mwenyekiti wa Chadema longido
POYOYOHawa jamaa zangu hawakujiandaa vyema kwani nikichukulia mfano wa wilaya ya longido ni wagombea wawili tu ambao walichukua fomu kupitia chadema kugombea .
Tukisema hawakujipanga mtachukia?
Wewe mjinga umejifungia huko lumumba na basha wako utajuaje ya mtaani??Hawa jamaa zangu hawakujiandaa vyema kwani nikichukulia mfano wa wilaya ya longido ni wagombea wawili tu ambao walichukua fomu kupitia chadema kugombea .
Tukisema hawakujipanga mtachukia?
Mtahadaa sana watu ila maelekezo waliyopewa na mashinikizo yote wametueleza hao watendaji.. Na wengine walijutia sana hizo nafasi japo hawakuwa na jinsi.. Mfano walipotoka ikulu walitueleza kila kilichosemwa na miongozo waliyopewa na vikao vilivyofanyika baadae wakiwa na kamati za siasa za wilaya na kata, na nadhibitisha hili kwa Kigoma wilaya ya Kasulu, utaniluta mtaa wa Muilamvia..Hawa jamaa zangu hawakujiandaa vyema kwani nikichukulia mfano wa wilaya ya longido ni wagombea wawili tu ambao walichukua fomu kupitia chadema kugombea .
Tukisema hawakujipanga mtachukia?
Lakini aliyesema hayo alitumbuliwa na mkampokea kama shujaa [emoji848] za kuambiwa changanya na zako.Ccm tumezoea ushindi wa goli la mkono. Mambo ya kushindana sio utamaduni wetu
PumbavuMshauri wake mkuu Daud Bashite hana vyeti na yeye mwenyewe PhD yake ni ya utata na kibaya zaidi washauri wa Naibu Rais Daud Bashite ni akina cyprian Musiba , Le mutuz na Joseph yona, ebu cheki huu mtiririko ndipo utabaini kuwa ipo shida kubwa kwenye mfumo wa utawala awamu hii ya tano
Nonsense.Mpinzani wa kweli unaanzia wapi kumzuia?!!
WALE WANAOLALAMIKA WAMEONEWA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA WAMEZINGATIA HAYA?
1 . Kama majina yake yatatofautiana kati ya majina aliyojaza kwenye fomu na majina aliyojiandikisha kwenye daftari. Angalia kanuni ya 13 (e) Uk. 152
2. Endapo mdhamini hataandika majina matatu na cheo ktk vyama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (d) Uk. 10-11
3. Jina alilojaza wakati anachukua fomu lifanane na lililopo kwenye fomu ( dispatch book vs forms). Angalia kanuni ya 17 (1) Uk. 153
4. Mgombea arejeshe fomu mwenyewe na kusaini. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153
5. Majina ya mdhaminiwa yafanane na ya mgombea yaliyojazwa kwenye fomu. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (a-d) Uk. 10-11
6. Fomu ya kiapo iwe halisi iliyotolewa na msimamizi msaidizi na ishuhudiwe na msimamizi msaidizi ngaz husuka. Angalia kanuni ya 16 (e) Uk. 152
7. Fomu zijazwe na mhusika lazima ziwe zimesainiwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.2 (e&f) Uk. 10-11
8. Fomu zishuhudiwe na ngazi ya chini ya chama itakayobainishwa na chama. Angalia mwongozo wa uchaguzi kipengele cha 14.1 & 14.2 (a) Uk. 10-11
9. Ambaye hajajiandikisha hana sifa ya kuwa mgombea. Angalia kanuni ya 13 (e)Uk. 152, ilinganishe na Kanuni ya 16 (d) Uk. 152 na Kanuni ya 14 (a) Uk. 152
10. Aliyejiandikisha mara mbili atakuwa amepoteza sifa ya kugombea au kupiga kura. Angalia kanuni ya 14 (b)Uk. 152
11. Lazima aeleze shughuli halali inayomwingizia kipato na endapo atabainika kudanganya atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (d)Uk. 152
12. Atakayeomba nafasi zaidi ya moja kwenye fomu moja atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 17 (1) & (5) Uk. 152-153
13. Nafasi anayoomba ionekane mpaka kwenye fomu ya kiapo. Angalia kanuni ya 17 (1)Uk. 153 isome sambamba na Kanuni ya 16 (e) Uk. 153
14. Fomu zijazwe kwa ukamilifu. Angalia kanuni ya 17 (2) Uk. 153
15. Eneo la uraia ajaze uraia siyo nchi mfano: Mtanzania na siyo Tanzania. Angalia kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154
16. Usahihi wa maeneo kwa mujibu wa GN mfano chankobe akiandika chakobe atakuwa amepoteza sifa maana eneo hilo litakuwa halipo ktk GN. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152 & Kanuni ya 17 (1-5) Uk. 153-154.
17. Mwombaji aeleze anaomba nafasi ipi na wapi mfano nafasi anayoomba mwenyekiti wa Kijiji cha Kagera vinginevyo atakuwa amepoteza sifa. Angalia kanuni ya 15 (e) Uk. 152
18. Fomu ijazwe taarifa inayohitajika tu, kuwepo kwa maandishi au michoro isiyohitajika hilo ni kosa. Angalia kanuni ya 17 (5) Uk. 154
19. Mgombea arejeshe fomu zote mbili kinyume na hapo hana sifa. Angalia kanuni ya 17 (2), (3) na (4) Uk. 153-154
20. Kama mgombea ameomba nafasi mbili unaweza kumteua nafasi moja. Angalia kanuni ya 17 (1)& (5) Uk. 153-154
21. Mgombea akiwa na ajira, wadhifa au uteuzi wowote katika mihimili ya Serikali atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Anagalia kanuni ya 16 (f)Uk. 153
22. Ikiwa Mgombea alichukua fomu na hakurejesha atakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia Kanuni ya 17 (2), (3) na (4)
23. Mgombea ambaye hatadhaminiwa na ngazi ya chini ya Chama chakeatakuwa amepoteza sifa za kuchaguliwa. Angalia mwongozo wa uchaguzi sehemu 14.1 na 14.2 (a)
Kabla ya kulalamika kukatwa majina,Jiridhisheni kwa kila hatua kama mmekidhi vigezo na masharti sio kulalama...
Maajabu katika pita pita zangu kule Mabibo Maziwa- kuna ofisi ya Chama Na. 8, majira jioni vijana walikuwa kwenye mazoezi kama yale ya mchakachaka, wakiimba kwa hamasa wakati wanafanya vile kama wanajiandaa kwenda kwenye paredi za matamasha! Natumaini sio matayarisho ya kupambana na vyama vya upinzani hio tarehe ya uchaguzi!Mtahadaa sana watu ila maelekezo waliyopewa na mashinikizo yote wametueleza hao watendaji.. Na wengine walijutia sana hizo nafasi japo hawakuwa na jinsi.. Mfano walipotoka ikulu walitueleza kila kilichosemwa na miongozo waliyopewa na vikao vilivyofanyika baadae wakiwa na kamati za siasa za wilaya na kata, na nadhibitisha hili kwa Kigoma wilaya ya Kasulu, utaniluta mtaa wa Muilamvia..