Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Hawatu wakue hata na mishipa ya aibu basi. Wanataka watuhaliribie taifa letu kwa uchu wao wa madaraka ili iweje? Mambo ya kishamba kabisa haya kutokea.
IMG-20191108-WA0097.jpg
 
Hiki chama ni changu ila kimejaza vilaza hatari, mh. Magufuri fanya mapinduzi chamani pls
 
teh teh teh kicheko si furaha 😉😉ccm oyeeeeeeee naomba uhai nione mwisho wa season hii ya kata kata na kushinda bila kupingwa poleni ndugu zetu wa dam huku kwetu zenj tushayazoea zaidi ya hayo
 
Hiyo Ndio demokrasia

Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine

Vyama 11 vimeridhishwa na Zoezi la maandalizi ya Uchaguzi
 
Tuache visingizio tupambane kwa hoja tushawishi wapiga kura

Jiwe hajawahi kushinda kwa kura toka huko nyuma, leo ndio mkuu na haguswi na sheria atakubali uchaguzi? Safari hii anaweka mitume wake bila ridhaa ya wananchi ili ajiongezee muda wa kukaa madarakani. Huyo mleta mada yuko sawa kwa 100%.
 
Hatimaye nimefanikisha tena.

Mwaka jana kuna vijana walikuwa wananitisha eti hawatanipa kura zao kwenye nafasi niliyokuwa nayo ya uenyekiti wa mtaa, na baadhi waliniamsha usiku wa manane na nikichelewa kuamka wanasema eti walinipa kura zao niwanyenyekee.

Asante Magu, sasa wananchi hamtutishi na mikwara yenu,tumerudi madarakani, na huto tu kura twenu hatutuhitaji, mtupishe na mkome,mmetutesa sana miaka michache hapo nyuma, oooh! fanya kazi,vinginevyo tutakuondoa kwa kura, fyoko fyoko, sasa kwa taarifa yenu, huto tukura twenu mkae nato, tumepita bila kupingwa na hamuwezi kutufanya lolote

Mnatamba eti mamlaka yanatoka kwa wananchi, shwaini, asilimia 99 tumepita bila nyie

Sijakupangisha foleni unipigie kura wala sijauza sera yoyote kwako wala kukupa ahadi ya uchaguzi a.k.a ilani yangu, usiniulize mambo ya mabarabara,maji,afya na elimu na mengineyo, unaniuliza kwani ulinipigia kura? Niliuza Sera yoyote kwako? Unanibana kwa lipi mwanaizaya wewe? Akina mama mnaodundwa na waume zenu mnajaa milangoni kwangu usiku kisa mlinipa kura,mkome, safari hii wanamtaa na wanavitongoji na vijiji hamjatupa kura zenu,mkome kutusumbua

Ntarudi

Kigumu Chama cha mapinduzi
Nahisi wewe unakitu unakilenga kitokee tofauti na maandishi yako.Pia huenda wewe sio mgombea ila lengo lako ni kuonekana wagombea wa ccm hawana busara wala hekima Kama wewe.
 
Alafu wanawakata wenzao kwa mitego ya hovyo kabisa, eti sababu Ni kuwa wameandika CHADEMA badala ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO, hivi hata aibu hamna? Hata kidogo?

Mbona nao kwenye form wameandika Chama anachotokea CHADEMA badala ya CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO. Ina maana wanatambua Kama CHADEMA Ni chama hicho hicho

Hii shida Sana yaani.
 
Wakati mwingine kitu ambacho hukijui ni bora uwe unakaa kimya.
 
Mkuu kwa hiyo hadithi yako inatufundisha nini?, mbaya zaid hata kuandika hujui nenda shule uliyosomea uwaambie wakurudishie ada yako.
 
Back
Top Bottom