Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

Labda Tanganyika ni ile mbegu ya mpanzi iliyoanguka juu ya JIWE, Je itaota?
 
Hi
Hiyo Ndio demokrasia

Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine

Vyama 11 vimeridhishwa na Zoezi la maandalizi ya Uchaguzi
Hivyo Vyama vinagombea uchaguzi gani?Sioni wagombea zaidi ya watawala.Ama Mimi sifahamu kusoma?
 
Tunaambiwa Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Chakushangaza jina lililokufa ni la Tanganyika pekee huku lile la Zanzibar likiendelea kunyonga tai.

Anyway, CCM yenye upinzani imara ni bora zaidi kuliko CCM isiyo na upinzani kabisa.
Hapa tunakwenda kutengeneza tabaka la viongozi jeuri kwelikweli, viongozi wale wa unajua mimi ni nani
 
Na wewe usije kutusumbua na vijimichango vya sungusungu sijui uchafu mara ututangazie mikutano wakagi sisi hatukuhusu si hatujakuchagua.....
 
Nahisi wewe unakitu unakilenga kitokee tofauti na maandishi yako.Pia huenda wewe sio mgombea ila lengo lako ni kuonekana wagombea wa ccm hawana busara wala hekima Kama wewe.
Wengi hawajamuelewa mtoa mada kwenye Kiswahili kuna kitu inaitwa "kejeli" huyu hayupo kabsaaa ccm nashangaa upinzani humu wanamnanga
 
CCM inatufanya tukiwa nje tuogope kusema tunapotokea. Mimi huwa nadanganya sana kuwa natokea Kenya, na mara chache South Africa.
Bora hata ukisema unatokea Somalia au Libya ili washangae Vizuri...
 
Nahisi wewe unakitu unakilenga kitokee tofauti na maandishi yako.Pia huenda wewe sio mgombea ila lengo lako ni kuonekana wagombea wa ccm hawana busara wala hekima Kama wewe.
Hapana mkuu,sijalenga kitu chochote
 
Hiyo Ndio demokrasia

Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine

Vyama 11 vimeridhishwa na Zoezi la maandalizi ya Uchaguzi
VYAMA GANI AMBAVYO HAVIJAWAHI KUSHINDA HATA JIMBO MOJA AU MTAA MMOJA. CCM MMEWAKUSANYA NA KUWALIPA VIHELA KIDOGO ILI MUWADANGANYE WANANCHI...HIVI MNAFIKIRI NANI ASIYEJUA MBINU ZENU. HATA LIPUMBA NDUGU YENU KAWAPINGA.
 
Vile vyama visivyo na uwakilishi vilivyotoa tamko havipo hapo, lakini viongozi wake wamesema watashiriki uchaguzi wa serikali za mitaa tarehe 24/11/2019. Wao watashiriki vipi?
 
Hiyo Ndio demokrasia

Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine

Vyama 11 vimeridhishwa na Zoezi la maandalizi ya Uchaguzi
Hivi unadhani CCM itatawala milele?
Kwa taarifa yako, magufuli is the great failure.
Ametia aibu na ameinajisi historia ya nchi yetu. Huu uozo anaufanya haujawahi kutokea nchini tangu kuumbwa kwa misingi ya taifa letu
 
Back
Top Bottom