Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Well said mkuu. Hata Lissu analijua Hilo na wala hana mpango huo wa Kushinda. Isipokuwa lengo lake ni kuleta tension tu ambacho actually ndicho alichofanya kufanya!
Pole sana kwa kukosa uwezo wa kujitegemea kiakili na kumtegemea Polepole
 
Unaweza kumsomba Mwana CHADEMA kwenye Kampeni za CCM!? Ukiona Mtu amekubali kutombwa au kwenda ujue ni mkereketwa!
 
Ukweli huu
 
kusema ukweli, hizi ndoto nyingine za mchana, zinachekesha.
P
 

Mnyoo huu wa chooni
 
Unaweza kumsomba Mwana CHADEMA kwenye Kampeni za CCM!? Ukiona Mtu amekubali kutombwa au kwenda ujue ni mkereketwa!
Unamsomba vizuri sana,niko Zangu Sengerema Nina siku sijaenda Mwanza uniambie Kuna ruti ya Mwanza bure,tena nafika nawaona karibia wasanii wote maarufu wa nchi hii niikatae ofa hii bab kubwa!? Wakat katika hali ya kawaida bila 20elf humuoni Diamond!!? Dhubutu!!!
 
Hao watoto wa primary school kwenye mikutano ndiyo watawapeni ushindi ?
Ha ha ha ha, ukweli mnaujua ndio Maana mmeanza kujihami eti mtaibiwa. Mbona CCM hawalalamiki kuibiwa!
 
Acha ushamba ww!! Watu walikuwa wanaenda kuwasikilza wasanii Kisha wanaondoka ndio mzee kijana akaja na mbinu mpya za mikutano kufanyikia kwenye viwanja vilivyojengewa,na Wasanii wakubwa kupanda jukwaani muda mfupi kabla ya mzee baba kupanda au hata baada ya mzee baba kpanda!!! Usijitoe akili wewe!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…