Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

Kwel nmeamn mtu akizeeka pia akili huzeeka
Nanasi juzaa nanasi,chungwa huzaa chungwa, nyanya huzaa nyanya...hivyo hivyo baba "snitch" huzaa mtoto "snitch", huwezi kupanda nanasi ukavuna chungwa! Kaniki ni rangi yake hata ukimsafisha kwa OMO. Kuishi kwingi kuona mengi, kuona mengi kujua mengi, kujua mengi ni mateso na wengi tunateseka na tutaendelea kuteseka.
 
Watu gani wanajaa, unajua hii Nchi Ina watu wangapi!? Unajua wapiga kura wako wangapi! Nenda kaangalie mikutano ya Dr.Slaa kipindi hicho halafu ndio utajua. Kura hazipatikani kwa kufanya mikutano na kujaza watu, kura zinapatikana kwa mikakati kabambe, CCM wanatafuta kura kuanzia ngazi ya Nyumba kumi hadi na Taifa. Wakati nyie Lissu anadhurura peke yake, WanaCCM wako busy inchi nzima kila mtaa, kila Kijiji, kila kata, kila tarafa, kila Willya na kila Mkoa na hapa ndipo siku zote Mnapigwa. Mkutano unajaza Bodaboda ambao hata hawakujiandikisha na wale waliojiandikisha tareh. 28 watakuwa busy wakila vichwa kuvipeleka na kuvitoa kwenye maeneo ya kupigia kura. Bodaboda gani atapaki Bodaboda yake akatumie three hrs eti kumchagua Lissu eti kisa wakati wa Kampeni alimjazia wese.
 
Wasaidie wenzako kujiondoa kwenye minyororo,kwa manufaa ya taifa na si maslahi binasfi.
 
Kwani Kuna mtu amewazuia Msichaguliwe. Wanazengo wenyewe ndio wanaamua, na hadi sasa wanaona Chama kiendelee kushika hatamu.
Jana nilikuwa naangalia kipindi kimoja UTV AZAM TV cha Uchaguzi, jamaa alikuwa Jimbo la Ubungo, moja ya swali alilikuwa akiwauliza wanazengo Kama wanawajua wagombea ubunge was Jimbo Hilo, huwezi amini, 40% walikuwa hawajui wagombea, Sasa Hawa ndio CCM wanasanya kura zao na kuwaelekeza sehemu ya kuweka tiki na wakienda kwenye kituo hawarembi, 50% walisema wanamjua mgombea mmoja tu, Kitila Mkumbo na baadhi wakasema hawajawahi kwenda kwenye Kampeni ila wamemuona kwenye Matangazo.
Sasa nyie mnajitekenya humu mnacheka wenyewe eti mtashinda, wakati wanazengo hata hawana tym na nyie!
 
Vijiji na mitaa yote imemkataa jpm ndo Mana anatembea na wasanii. Akitaka kujua Kama hatakiwi aende mkutano hata mmoja bila wasanii. Kule bukoba walimzomea tbc wakakata matangazo fasta.

Vijana ambao ni asipimia kubwa ya watanzania hawamtaki na wako ready kwa lolote. Ajira hamna yeye anajazanisha flyover tu.
We unadhani kwa Nini lisu wanamletea figisu nyingi? Anajua hashindi uchaguzi huu. Ndo Mana hata internet zinazimwa kesho Lisa spana za lisu
 
Tarehe 28 tembelea vituo vya kupigia kura utawakuta Wanazengo wakiitimiza kwa vitendo! Watakuwa wanamrudisha raia wa ubelgiji kwao na kutuma ujumbe mkali kwa Mabeberu akina Amsterdam!
 
Unazungumzua kuzomewa, Lissu alipopomolewa mawe kabisa Chato.
 
Tarehe 28 tembelea vituo vya kupigia kura utawakuta Wanazengo wakiitimiza kwa vitendo! Watakuwa wanamrudisha raia wa ubelgiji kwao na kutuma ujumbe mkali kwa Mabeberu akina Amsterdam!
Msirudishwe tu nyie wenye aleji ya uhuru,haki na maendeleo ya watu.
 
Msirudishwe tu nyie wenye aleji ya uhuru,haki na maendeleo ya watu.
Wewe Beba kiparata chako ukatimize wajibu wako. Uskute hata Kiparata huna, unalalama tu hapa, halafu Bibi yako akienda kufanya yake, unakuja humu ooooh tumeibiwa, na bra bra za kutosha!
 
Kuna watu humu wanajipa moyo eti CHADEMA hii ya Lissu, Mbowe, Mnyika, Heche, Halima, Bulaya Matiko na Wenzake wanaweza kuishinda CCM ya Magufuli, Bashiru Ali, Mangula, na mfumo mzima wa Chama Cha Mapinduzi...
Mmmmmfuuuuuuuuuuhh
 
Wewe Beba kiparata chako ukatimize wajibu wako. Uskute hata Kiparata huna, unalalama tu hapa, halafu Bibi yako akienda kufanya yake, unakuja humu ooooh tumeibiwa, na bra bra za kutosha!
Kwenda kuchinja lazima
 
Kwani Kuna mtu amewazuia Msichaguliwe. Wanazengo wenyewe ndio wanaamua, na hadi sasa wanaona Chama kiendelee kushika hatamu.
Jana nilikuwa naangalia kipindi kimoja UTV AZAM TV cha Uchaguzi...
Rudia kusoma nilichokiandika halafu punguza mihemko ya uchama.

Mimi sijaegemea upande wowote nimeuliza swali, hivi kama CCM pekee imeongoza zaidi ya miaka 50 still tunatoa elimu kwa jamii kuhusu Huduma za matumizi sahihi ya vyoo, je kama itatokea wakiendelea kutawala miaka yote, hayo maendeleo yatatokea wapi?


Tizama nchi kama Kenya ambayo iliondoa KANU, ijapokuwa wanachangamoto zao ukilinganisha resources tulizo nazo je, hii nafasi ya LCD tunaistahili?

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…