Uchaguzi 2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

CCM wangekuwa wanajiamini wangeleta tume huru, wasingeChakachua wenyeviti Wa mitaa Na vitongoji mwaka Jana, wasingewawelea pingamizi yasiyokuwa na mantiki, ukitaka tuonekane kama wewe Ni great thinker, uone ukweli huu.
Jama wana wasiwasi sana. Pamoja Nakufungia wapinzani midomo miaka 5, pamoja Na kuzuia vyombo vya habari visitangaze habari za upinzani, pamoja Na picha za wagombea Wa upinzani kutotundikwa, pamoja Na mikutano ya CCM kusomba watu kwa maroli, bado CDM inawaogopa wapinzani. Ni kwa nini? Jiulize
 
Hekaya za Abunuas wapelekee watoto wanaokaribia kujiunga chekechea, nao sijui kama watafika mwisho wa simulizi kabla hawajauchapa usingizi mzito.
 
Mbona waongea kama mgeni/mpya. Hivi hizo TV umeanza kuangalia karibuni. Pole sana
 
Mawazo kama haya alikutana nayo Nyerere na Mandela wakat wa kudai uhuru
 
Siyo kazi ya CCM kuleta time huru ya Uchaguzi. So long wanaendelea kutawala, kwao huu ndio mfumo sahihi!
 
Kumbuka: Oktoba 28 kujitokeza kwa wingi kupiga kura. CHADEMA tunaomba umchague;
Rais-Tundu Lissu,
Chagua wagombea Ubunge na Udiwani wa CHADEMA.
 
Kuna mambo ya Msingi zaidi ya kuangalia Binge live
 
Big up, this is the truth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…