Uchaguzi TFF, usichukue fomu ya kugombea kabla ya kuwa na waungaji mkono, rushwa.

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,154
Reaction score
17,491
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.

Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata angalau wajumbe 5 wa mkutano mkuu kutoka mikoani watakao kudhamini. Hivyo, kama hujajua nani atakudhamini usipoteze pesa zako baba yangu, utatoa sadaka hela zako.

TFF wameweka kwanini hii ya endorsements ya idadi ya wajumbe isiyokuwa na ukomo ili wadumu madarakani pamoja na wajumbe wao watakaowaunga mkono katika kuboronga au kuimarisha mpira.

Twendeni mahakamani.
 
Waandikieni FIFA
 
Pumbavu kabisa wewe,uchaguzi ni mchakato ..
Huwez kuamka tu kwenu uko buza Kwa mpalange uende utake urais wa tff..
Ili ushinde uchaguz wowote ule ni lazma utafute uungwaji mkono kabla hakuna kukurupuka Wala kutia huruma kwenye uchaguzi..
Kama unaona rahisi kajaribu tu ujumbe wa nyumba kumi bila kutengeneza mazingira uone kitakachokuta
 
Rushwa rushwa rushwa michezoni, uwanja umeinamishwa kwa mtindo wa survival of the fittest na scratch my back I will scratch yours. Haiwezekani wajumbe woooooote 46 waunge mgombea mmoja wakati hata 5 tu wanatosha huku kanuni ni mjumbe mmoja hawezi kudhamini zaidi ya mjumbe mmoja. Haina tofauti na kampuni ya Coke kununua chupa zote za Pepsi majumbani, kwenye mabaa na madukani kwa bei kubwa.
 
Pumbavu kabisa wewe,uchaguzi ni mchakato ..
Huwez kuamka tu kwenu uko buza Kwa mpalange uende utake urais wa tff..
Ili ushinde uchaguz wowote ule ni lazma utafute uungwaji mkono kabla hakuna kukurupuka Wala kutia huruma kwenye uchaguzi..
Kama unaona rahisi kajaribu tu ujumbe wa nyumba kumi bila kutengeneza mazingira uone kitakachokuta
iyo kutengeneza mazingira ndio rushwa sasa, sema wewe unaisema kishkaji

hoja ndio msingi wa kuchaguliwa sio mazingira (rushwa)
 
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.

Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata angalau wajumbe 5 wa mkutano mkuu kutoka mikoani watakao kudhamini. Hivyo, kama hujajua nani atakudhamini usipoteze pesa zako baba yangu, utatoa sadaka hela zako.

TFF wameweka kwanini hii ya endorsements ya idadi ya wajumbe isiyokuwa na ukomo ili wadumu madarakani pamoja na wajumbe wao watakaowaunga mkono katika kuboronga au kuimarisha rushwa, chuki, viburi, dharau vimejaa mule
Rushwa, kiburi, unafiki, uhuni, chuki, dharau zimejaa mule, Karia na wahuni wake wanajua ile taasisi washaimiliki indirectly

Wajumbe wa uchaguzi ni watu wao, katiba wanajibadilishia muda wowote wanaotaka wao na kwa manufaa yao!🤣🚮🙌
 
Mim naomba tu kuelimishwa, hicho kipengele cha kuwa na endorsement ya wajumbe walau 5 kinalenga nin? Au kina faida gan wakati kwa uelewa wangu wajumbe hao hao ndo watapiga kura ya kuchagua Rais wa tff.

Nawasilisha ili nielimishwe zaidi
 
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.

Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata angalau wajumbe 5 wa mkutano mkuu kutoka mikoani watakao kudhamini. Hivyo, kama hujajua nani atakudhamini usipoteze pesa zako baba yangu, utatoa sadaka hela zako.

TFF wameweka kwanini hii ya endorsements ya idadi ya wajumbe isiyokuwa na ukomo ili wadumu madarakani pamoja na wajumbe wao watakaowaunga mkono katika kuboronga au kuimarisha mpira.

Twendeni mahakamani.
Inashangaza mtia nia wa uto anakosa endorsement ya wana uto!
 
iyo kutengeneza mazingira ndio rushwa sasa, sema wewe unaisema kishkaji

hoja ndio msingi wa kuchaguliwa sio mazingira (rushwa)
Sasa wewe wapi kwenye kugombea uongozi uliwai kuona hakuna hayo mazingira wapi ..
Kwenye udiwani,ubunge au urais au wapi wewe ushawai kuona ..
Ukitaka uongozi una mambo yake mengi na lazma ukubaliane nayo mzee
 
mmesha halalilisha rushwa hadi mnaona ni kawaida

ona unavyo taja hizo sekta na kuhisi ni halali kuandaa hayo mazingira (rushwa)

hata ifanyike wapi hii ni rushwa na sio halali
 
Pumbavu kabisa wewe,uchaguzi ni mchakato ..
Huwez kuamka tu kwenu uko buza Kwa mpalange uende utake urais wa tff..
Ili ushinde uchaguz wowote ule ni lazma utafute uungwaji mkono kabla hakuna kukurupuka Wala kutia huruma kwenye uchaguzi..
Kama unaona rahisi kajaribu tu ujumbe wa nyumba kumi bila kutengeneza mazingira uone kitakachokuta
Tayari waliochukua fomu wameanza kutoa mlio. Karia ni mafia kwelikweli.
 
Kama mnaona kuweka hila za kupataza ushindi kabla ya mechi ni Sawa, hamna uhalali wa kulalamikia upangwaji wa matokeao katika ligi!

Kimsingi TAKUKURU wanapaswa kuingilia mchakato huu wasisubiri kuitwa!
 
Rushwa, kiburi, unafiki, uhuni, chuki, dharau zimejaa mule, Karia na wahuni wake wanajua ile taasisi washaimiliki indirectly

Wajumbe wa uchaguzi ni watu wao, katiba wanajibadilishia muda wowote wanaotaka wao na kwa manufaa yao!🤣🚮🙌
Yani Kuna watu wanaona watu wote ni nongolala ispokuwa wao.
 
Hiki ndiyo kipindi cha wanasheria watumie taaluma Yao kulikoa soka la Tanzania
 
Back
Top Bottom