kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.
Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata angalau wajumbe 5 wa mkutano mkuu kutoka mikoani watakao kudhamini. Hivyo, kama hujajua nani atakudhamini usipoteze pesa zako baba yangu, utatoa sadaka hela zako.
TFF wameweka kwanini hii ya endorsements ya idadi ya wajumbe isiyokuwa na ukomo ili wadumu madarakani pamoja na wajumbe wao watakaowaunga mkono katika kuboronga au kuimarisha mpira.
Twendeni mahakamani.