Waandikieni FIFAUchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.
Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata angalau wajumbe 5 wa mkutano mkuu kutoka mikoani watakao kudhamini. Hivyo, kama hujajua nani atakudhamini usipoteze pesa zako baba yangu, utatoa sadaka hela zako.
TFF wameweka kwanini hii ya endorsements ya idadi ya wajumbe isiyokuwa na ukomo ili wadumu madarakani pamoja na wajumbe wao watakaowaunga mkono katika kuboronga au kuimarisha mpira.
Twendeni mahakamani.
Pumbavu kabisa wewe,uchaguzi ni mchakato ..Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.
Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata angalau wajumbe 5 wa mkutano mkuu kutoka mikoani watakao kudhamini. Hivyo, kama hujajua nani atakudhamini usipoteze pesa zako baba yangu, utatoa sadaka hela zako.
TFF wameweka kwanini hii ya endorsements ya idadi ya wajumbe isiyokuwa na ukomo ili wadumu madarakani pamoja na wajumbe wao watakaowaunga mkono katika kuboronga au kuimarisha mpira.
Twendeni mahakamani.
Rushwa rushwa rushwa michezoni, uwanja umeinamishwa kwa mtindo wa survival of the fittest na scratch my back I will scratch yours. Haiwezekani wajumbe woooooote 46 waunge mgombea mmoja wakati hata 5 tu wanatosha huku kanuni ni mjumbe mmoja hawezi kudhamini zaidi ya mjumbe mmoja. Haina tofauti na kampuni ya Coke kununua chupa zote za Pepsi majumbani, kwenye mabaa na madukani kwa bei kubwa.Pumbavu kabisa wewe,uchaguzi ni mchakato ..
Huwez kuamka tu kwenu uko buza Kwa mpalange uende utake urais wa tff..
Ili ushinde uchaguz wowote ule ni lazma utafute uungwaji mkono kabla hakuna kukurupuka Wala kutia huruma kwenye uchaguzi..
Kama unaona rahisi kajaribu tu ujumbe wa nyumba kumi bila kutengeneza mazingira uone kitakachokuta
iyo kutengeneza mazingira ndio rushwa sasa, sema wewe unaisema kishkajiPumbavu kabisa wewe,uchaguzi ni mchakato ..
Huwez kuamka tu kwenu uko buza Kwa mpalange uende utake urais wa tff..
Ili ushinde uchaguz wowote ule ni lazma utafute uungwaji mkono kabla hakuna kukurupuka Wala kutia huruma kwenye uchaguzi..
Kama unaona rahisi kajaribu tu ujumbe wa nyumba kumi bila kutengeneza mazingira uone kitakachokuta
Rushwa, kiburi, unafiki, uhuni, chuki, dharau zimejaa mule, Karia na wahuni wake wanajua ile taasisi washaimiliki indirectlyUchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.
Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata angalau wajumbe 5 wa mkutano mkuu kutoka mikoani watakao kudhamini. Hivyo, kama hujajua nani atakudhamini usipoteze pesa zako baba yangu, utatoa sadaka hela zako.
TFF wameweka kwanini hii ya endorsements ya idadi ya wajumbe isiyokuwa na ukomo ili wadumu madarakani pamoja na wajumbe wao watakaowaunga mkono katika kuboronga au kuimarisha rushwa, chuki, viburi, dharau vimejaa mule
Inashangaza mtia nia wa uto anakosa endorsement ya wana uto!Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja.
Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika.
Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata angalau wajumbe 5 wa mkutano mkuu kutoka mikoani watakao kudhamini. Hivyo, kama hujajua nani atakudhamini usipoteze pesa zako baba yangu, utatoa sadaka hela zako.
TFF wameweka kwanini hii ya endorsements ya idadi ya wajumbe isiyokuwa na ukomo ili wadumu madarakani pamoja na wajumbe wao watakaowaunga mkono katika kuboronga au kuimarisha mpira.
Twendeni mahakamani.
Sasa wewe wapi kwenye kugombea uongozi uliwai kuona hakuna hayo mazingira wapi ..iyo kutengeneza mazingira ndio rushwa sasa, sema wewe unaisema kishkaji
hoja ndio msingi wa kuchaguliwa sio mazingira (rushwa)
mmesha halalilisha rushwa hadi mnaona ni kawaidaSasa wewe wapi kwenye kugombea uongozi uliwai kuona hakuna hayo mazingira wapi ..
Kwenye udiwani,ubunge au urais au wapi wewe ushawai kuona ..
Ukitaka uongozi una mambo yake mengi na lazma ukubaliane nayo mzee
Tayari waliochukua fomu wameanza kutoa mlio. Karia ni mafia kwelikweli.Pumbavu kabisa wewe,uchaguzi ni mchakato ..
Huwez kuamka tu kwenu uko buza Kwa mpalange uende utake urais wa tff..
Ili ushinde uchaguz wowote ule ni lazma utafute uungwaji mkono kabla hakuna kukurupuka Wala kutia huruma kwenye uchaguzi..
Kama unaona rahisi kajaribu tu ujumbe wa nyumba kumi bila kutengeneza mazingira uone kitakachokuta
Wamedanganywa na KIEMBA!Inashangaza mtia nia wa uto anakosa endorsement ya wana uto!
Yani Kuna watu wanaona watu wote ni nongolala ispokuwa wao.Rushwa, kiburi, unafiki, uhuni, chuki, dharau zimejaa mule, Karia na wahuni wake wanajua ile taasisi washaimiliki indirectly
Wajumbe wa uchaguzi ni watu wao, katiba wanajibadilishia muda wowote wanaotaka wao na kwa manufaa yao!🤣🚮🙌
Fifa pia wanatumia mfumo huoWaandikieni FIFA
Anzieni ccm huko .ubaya ubwelaHiki ndiyo kipindi cha wanasheria watumie taaluma Yao kulikoa soka la Tanzania
Good thinkingKama watangulizi wao wangekuwa wameweka kanuni kandamizi kama hizi hata wao wasingekua hapo walipo Sasa.