N Ngwanashigi Gagaga JF-Expert Member Joined Mar 10, 2017 Posts 434 Reaction score 302 Jan 18, 2021 #261 4 7mbatizaji said: Mkuu no way matokeo ya kila tuo yapo wazi ,tume ya uchaguzi Uganda niwapongeze, jamaa anambuluza Msevini sio KWA viwango hivi,but alishakubali hachia madaraka vinginevyo tegemea kua na marais wawili wa uganda Click to expand... Habari Mkuu, tafadhali naomba matokeo ya Uchaguzi wa Uganda wa tarehe 14 Januari 2021.
4 7mbatizaji said: Mkuu no way matokeo ya kila tuo yapo wazi ,tume ya uchaguzi Uganda niwapongeze, jamaa anambuluza Msevini sio KWA viwango hivi,but alishakubali hachia madaraka vinginevyo tegemea kua na marais wawili wa uganda Click to expand... Habari Mkuu, tafadhali naomba matokeo ya Uchaguzi wa Uganda wa tarehe 14 Januari 2021.
TODAYS JF-Expert Member Joined Apr 30, 2014 Posts 14,747 Reaction score 24,250 Jan 18, 2021 Thread starter #262 Ngwanashigi Gagaga said: Habari Mkuu, tafadhali naomba matokeo ya Uchaguzi wa Uganda wa tarehe 14 Januari 2021. Click to expand... Nadhani unaelewa kilichotokea na hata sasa unajua kile kinachoendelea mpaka sasa ambapo jeshi linaendelea kumzuia Bobi. So huwezi sema Museveni kashinda kihalali, this is Afrika -shithole country.
Ngwanashigi Gagaga said: Habari Mkuu, tafadhali naomba matokeo ya Uchaguzi wa Uganda wa tarehe 14 Januari 2021. Click to expand... Nadhani unaelewa kilichotokea na hata sasa unajua kile kinachoendelea mpaka sasa ambapo jeshi linaendelea kumzuia Bobi. So huwezi sema Museveni kashinda kihalali, this is Afrika -shithole country.