Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Lissu anatetea maslahi yapi ? Yule aliyesema tutashitakuwa MIGA katika suala la madini ? Katika wapinzani wa hovyo Tanzania Lissu ni nambari one. Yeye kazi yake ni kuichafua nchi huko nje, mpinzani gani wa hivyo ? Hauko serious.
 
Mama Samia si ndio alichafua nchi Ina ugaidi akiwa London? Si alichafua nchi kwamba JPM alikufa kwa Corona? Hivi si alichafua nchi akiwa US kwamba nchi ilikua ya kidikteta enzi za JPM!! Mbona mmempa Urais au akisema CCM ni haki ila Lissu akisema JPM ni dikteta ndio anageuka msaliti??

Nenda angani au kuzimu Mama Samia Hana intellectual capacity yoyote ya kumzidi Lissu, uwezo wake tumeuona bungeni akitetea maslahi ya wananchi huyo Samia ni lini aliwahi pigania maslahi ya wananchi akiwa bungeni au waziri??

Embu acha utani
 
Hakuna kitu kama hicho. Hakuna mpinzani wa kuingia Ikulu kwa sasa hapa Tanzania.
 
30% inaamua Rais?? Kanda zingine zinaleta 70% sasa inaamuaje Rais?

Mie ni wa Kanda ya ziwa ila sio kweli kuwa Kanda moja au kabila linaamua Rais hii nchi hatuna makabila makubwa hivyo kama Kenya.
Kumbuka hata kanda zingine upinzani upo. Kwa hiyo usicheze na kanda yenye wapiga kura wengi. Wahusika wanalijua
sana hili na wako makini nalo
 
Kanda ya Ziwa hakuna kabila moja, unateseka bure ndugu yangu ila ukweli mchungu ni kwamba kanda hiyo ndiyo yenye wapiga kura wengi.
 
Kwani Ukiondoa Kanda ya Ziwa unamaanisha Kanda zingine zote ni wamoja ? Kwanza uelewe kwamba watu wa Kanda ya Ziwa wametapakaa mikoa yote. Ukweli mchungu ni huo kwamba Kanda ya Ziwa ndio Kanda kuu. Hutaki kajinyonge.
 
Hajui kitu hiyo.
 
Wewe ni mpuuzi Fulani tu. Hiyo Kanda tayari imeshatoa maraisi wawili halafu unaleta ngojera hapa. Mungu akiamua Rais anaweza toka tena Kanda hiyo hiyo. Nani alijua kama Mzanzibar atakuja kuwa Rais wa Tanzania ?
 
NEC na vyombo vya dola ndiyo vinaweka Rais madarakani
 
Ingekuwa hivyo Mzee Mapesa amekuwa Raisi Baada ya Mwinyi, na Baadae angekuwa Lipumba au Karamagi au Kagasheki . Au Handsome Boy wa Bukoba au Kaizelage. Infwact kwa Bukoba tunao a handfull of people , wengine tunawaficha.
Naona unataka kuwachonganisha wa Tz kikanisa au kikanda.
 
Kanda ya Ziwa hakuna kabila moja, unateseka bure ndugu yangu ila ukweli mchungu ni kwamba kanda hiyo ndiyo yenye wapiga kura wengi.
Wapiga kura wengi compared to who?? 17 million out of 60 million ndio unaamua Rais?

Kingine voting patterns za Kanda ya ziwa hazijawahi kuwa sawa, mfano Mikoa kama Mara, Kagera,Kigoma, Ukerewe, na Shinyanga imechagua upinzani ila iliyobaki ilikua CCM miaka mingi so hawapigi kura kama kundi moja so sio kweli wanaweza amua Rais.

Ni kama tu Wakikuyu ndio kabila kubwa Kenya yaani Robo ya watu wote Kenya ni Wakikuyu ila Bado hawaamui Rais ndio maana Odinga aliwaangusha 2007!! So hizi kelele kuwa mna kura nyingi SIO KWELI
 
Kwani Ukiondoa Kanda ya Ziwa unamaanisha Kanda zingine zote ni wamoja ? Kwanza uelewe kwamba watu wa Kanda ya Ziwa wametapakaa mikoa yote. Ukweli mchungu ni huo kwamba Kanda ya Ziwa ndio Kanda kuu. Hutaki kajinyonge.
Mie natokea Kanda ya ziwa huku hatujawahi chagua CCM miaka yote hasa Kigoma, Shinyanga, Kagera, na Mara.

Ndio nakuelewesha mtu akipata kura za Kanda nyingine anatangazwa Mshindi bila hata ya kura za Kanda ya ziwa (Isomeke WASUKUMA) maana ni less than 25% ya kura zote.
 
Kumbuka hata kanda zingine upinzani upo. Kwa hiyo usicheze na kanda yenye wapiga kura wengi. Wahusika wanalijua
sana hili na wako makini nalo
Kanda ya Nyanda za juu kusini plus Kanda ya kati na pwani tayari Una 60% plus ya kura!! Sasa Kanda ya ziwa inaongeza nini?

Propaganda kama hizi zilitumika kumpora Urais Odinga eti kisa Wakikuyu ndio kabila kubwa kuliko yote!! Ila 2007 aliunganisha makabila mengine yote na aliwaangusha Wakikuyu hadi ikabidi wafute matokeo.

So hata huku mlitumia kauli hiyo kuhalalisha ushindi wa JPM 2015!! tumewashtukia na 2025 hatuko tayari kuendeshwa na propaganda zenu tena za ukabila
 
Wewe ni mpuuzi Fulani tu. Hiyo Kanda tayari imeshatoa maraisi wawili halafu unaleta ngojera hapa. Mungu akiamua Rais anaweza toka tena Kanda hiyo hiyo. Nani alijua kama Mzanzibar atakuja kuwa Rais wa Tanzania ?
What's special hapo wakati ukanda wa Pwani umetoa Marais 3. Kwani umeskia Pwani ndio Ina wapiga kura wengi?? Kuwa Rais nchi hii hauna correlation na wingi wa watu otherwise Nyerere kwa udogo wa Kabila lake asingeshinda kura.

So acha siasa za kikabila!!
 
Nilidhani nawasiliana na MTU wa maana kumbe ni jitu jinga lililopigwa kwa cheti fake. Ngoja nikwambie we nyau kwamba Kanda ya Ziwa itabaki kuwa kanda kuu nchini Tanzania. Hutaki kasage chupa ufe.
 
Nilidhani nawasiliana na MTU wa maana kumbe ni jitu jinga lililopigwa kwa cheti fake. Ngoja nikwambie we nyau kwamba Kanda ya Ziwa itabaki kuwa kanda kuu nchini Tanzania. Hutaki kasage chupa ufe.
Acha propaganda hii sio FB huku kuna great thinkers. Mimi ni WA Kanda ya ziwa ila ukweli ni kwamba wapiga kura 32% ndio wanatokea Kanda ya ziwa Tanganyika na Victoria. na Wasukuma ni 17% ya taifa Zima ikimaanisha makabila mengine ni 83% na Kanda zingine Zina wapiga kura 68%.

Sasa hapo jiongeze nani anaamua Rais kama ni 68% au hao 32% wa Kanda ya ziwa, ukipata jibu ndio utajua nani ni mjinga.
 
Kwani nani aliyekudanganya kwamba kanda zingine zote ziko kinyume na kanda ya ziwa ? Hujui kwamba kwa sasa mikoa karibu yote Tanzania watu was
kanda ya ziwa wametapakaa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…