Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Kwa hyo mleta mada unataka useme Kanda ya ziwa Ina watu wengi kuliko Kanda zingne??
 
Kwani nani aliyekudanganya kwamba kanda zingine zote ziko kinyume na kanda ya ziwa ? Hujui kwamba kwa sasa mikoa karibu yote Tanzania watu was
kanda ya ziwa wametapakaa ?
Kwani kabila Gani halijatapakaa? Wachagga kuwepo Mikoa yote ndio kuprove wataamua Rais? Au kwa akili Yako ni Wasukuma tu waliotapakaa huku wengine wote wamelala tu makwao?

Mnachekesha
 
Kanda ya ziwa ni nchi ndani ya nchi mama, hilo halina kipingamizi kwamba sisi ndio tuna determine nani awe rais na nani asiwe rais. Hilo liko wazi.

Mama analijua hilo ndio maana unaona kila kukicha anatutembelea.

Hii nchi tulikua taken advantage of kwa miaka mingi, sasa tumeshtuka na sasa tunaamua nani awe rais.

Faida moja ya kanda yetu ni kwamba tuna makabila mengi lakini yanayoelewana na yameingiliana kiasi kwamba wote tunaonekana kama kabila moja. Hii haipo kanda zingine nchini.

Kama tunachangia 33% ya pato la taifa kwa nini tusiamue nani awe rais?
Majitu ya Kanda ya ziwa Mashamba sana.
 
Kwani kabila Gani halijatapakaa? Wachagga kuwepo Mikoa yote ndio kuprove wataamua Rais? Au kwa akili Yako ni Wasukuma tu waliotapakaa huku wengine wote wamelala tu makwao?

Mnachekesha
Nani kakudanganya kwamba wachagga wako mikoa yote ? Tunaposema kanda ya ziwa uwe unaelewa. Kuna Kagera, Mwanza, Mara, Shinyanga, Simiyu, Geita. Ongezea kanda ya Magharibi yenye mikoa ya Tabora , Kigoma na Katavi. Sasa unalinganisha wachagga ambao Ni wachuuzi wachache mijini kama kisiwa katika Bahari kuu ya kanda ya Ziwa ? Hauko serious.
CCM yenyewe inajua kwamba Kanda ya Ziwa ndio kura za ushindi halafu wewe unaleta utoto hapa. Hata hivyo siyo kosa lako, ukikua utaacha.
 
Back
Top Bottom