Uchaguzi ujao, Kanda ya Ziwa isiwe ndio Kanda inayotuchagulia Rais

Kwa hyo mleta mada unataka useme Kanda ya ziwa Ina watu wengi kuliko Kanda zingne??
 
Kwani nani aliyekudanganya kwamba kanda zingine zote ziko kinyume na kanda ya ziwa ? Hujui kwamba kwa sasa mikoa karibu yote Tanzania watu was
kanda ya ziwa wametapakaa ?
Kwani kabila Gani halijatapakaa? Wachagga kuwepo Mikoa yote ndio kuprove wataamua Rais? Au kwa akili Yako ni Wasukuma tu waliotapakaa huku wengine wote wamelala tu makwao?

Mnachekesha
 
Majitu ya Kanda ya ziwa Mashamba sana.
 
Kwani kabila Gani halijatapakaa? Wachagga kuwepo Mikoa yote ndio kuprove wataamua Rais? Au kwa akili Yako ni Wasukuma tu waliotapakaa huku wengine wote wamelala tu makwao?

Mnachekesha
Nani kakudanganya kwamba wachagga wako mikoa yote ? Tunaposema kanda ya ziwa uwe unaelewa. Kuna Kagera, Mwanza, Mara, Shinyanga, Simiyu, Geita. Ongezea kanda ya Magharibi yenye mikoa ya Tabora , Kigoma na Katavi. Sasa unalinganisha wachagga ambao Ni wachuuzi wachache mijini kama kisiwa katika Bahari kuu ya kanda ya Ziwa ? Hauko serious.
CCM yenyewe inajua kwamba Kanda ya Ziwa ndio kura za ushindi halafu wewe unaleta utoto hapa. Hata hivyo siyo kosa lako, ukikua utaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…