urusi atamaliza oparation ake kabla afu atakuwa ashamwandaa mtu wake
All the best Kwa Mother Russiaurusi atamaliza oparation ake kabla afu atakuwa ashamwandaa mtu wake
Kwa nini wao raia hawaonoSijui kama itatosha kuwaambia wapiga kura kuwa kesho itakuwa siku ya furaha sana.
Wakulima wa ngano sijui watasemaje.Na wamiliki wa viwanda vya madawa na chuma nao sijui kama watamuelewa.
Atawaambia amewaletea zawadi ya vita.Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024.
Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo.
Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea atanadi sera gani kwa wapiga kura wake?.
Hahitaji kuwaambia chochote, wanapaswa kumshukuru kwa kuzuia mashamba na viwanda vyao kutekwa na Urusi.Sijui kama itatosha kuwaambia wapiga kura kuwa kesho itakuwa siku ya furaha sana.
Wakulima wa ngano sijui watasemaje.Na wamiliki wa viwanda vya madawa na chuma nao sijui kama watamuelewa.
Sahau, Zele bado yupo sana. Kwa sasa Waukraine hawataki kusikia mtu anayefungamana na Urusi.urusi atamaliza oparation ake kabla afu atakuwa ashamwandaa mtu wake
Unafanya transition ya uongozi huku mabomu yanarindima? Wewe unaona nani atataka kukalia kiti ktk mazingira kama hayo?Kwa changamoto anayopitia, hiyo ndio sehemu pekee ya kung'atuka bila lawama, ashiriki kwenye uchaguzi ila ajiwekee mazingira ya kushindwa; baada yahapo akapumzike ugenini.
Ata ningekuwa mimi, ningeitisha uchaguzi kama kawaida, na ningejiwekea mazingira ya kushindwa ili nipumzike.
Kuruhusu watu waingie kwenye vita na kufa si kazi rahisi; nchi inaweza ikakunyonga kwa maamuzi mabaya.
Wapo watu wana uchu wa madaraka, unaangalia upepo unavyokwenda, ukiona wapo wanaotangaza nia, unamhamishia msala.Unafanya transition ya uongozi huku mabomu yanarindima? Wewe unaona nani atataka kukalia kiti ktk mazingira kama hayo?
Ikitokea wanachi wakitaka uchaguzi?Hakuna nchi inakuwa na vita dhidi ya taifa lingine vinaendelea alafu ikafanya uchaguzi
Mfano inawezaje kutokea wananchi wa Tanzania wakataka uchaguzi mwaka 2023 au 2024 au ule wa mwaka 2025 wasiutake?Ikitokea wanachi wakitaka uchaguzi?