Uchaguzi Ukraine ni mwakani, Zelensky atawaambia nini wapiga kura wake?

Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024.

Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo.

Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea atanadi sera gani kwa wapiga kura wake?.
Hivi unafikiliq kutumia nini? Hujui nchi ikiwa kwenye state of emmergence haiwezekani kufanya uchaguzi?

Utafanyaje uchaguzi nchi ipo vitani?
 
Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024.

Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo.

Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea atanadi sera gani kwa wapiga kura wake?.
Hili swali nadhani litamfaa zaidi.... huyu mama yenu aliepata uraisi kwa ndondokela!.....

Alivyopata uraisi Ni sawasawa tu na tunaobeti....haina tofauti

Atawambia nini watanganyika aliowahamishia Bandari yao nyikani kuwapelekea wajomba zake!?
 
Mfano inawezaje kutokea wananchi wa Tanzania wakataka uchaguzi mwaka 2023 au 2024 au ule wa mwaka 2025 wasiutake?

Uchaguzi sio suala la ombi ni suala la kikatiba. Katiba ya Ukraine hairuhusu uchaguzi mkiwa vitani, na sijawahi sikia nchi inayoruhusu uchaguzi mkuu ikiwa vitani. Rais akifariki au akajiuzulu bado hawafanyi uchaguzi mkuu
Ata Africa magharibi katiba hairuhusu mapinduzi; lakini yametokea na yataendelea kutokea
 
Wapo watu wana uchu wa madaraka, unaangalia upepo unavyokwenda, ukiona wapo wanaotangaza nia, unamhamishia msala.
Akikubali kumwachia uongozi mtu mwengine itakuwa tangazo la kushindwa vita kwani atakayekuja lazima atoe ahadi ya kusitisha vita na kuingia kwenye mazungumzo na Urusi.Kwenye kampeni za huyo mwengine lazima amshutumu Zelensky hadharani.
 
Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024.

Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo.

Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea atanadi sera gani kwa wapiga kura wake?.
Kwa taarifa yako huyo jamaa kutokana na alivyosimama imala kwenye hii vita hana hata haja ya kupiga kampeni,na ndiye atakuwa baba wa taifa hilo.,niko paleeee
 
Mwangalie mtu wako dalili zote kachoka na kachanganyikiwa.
 
Ata Africa magharibi katiba hairuhusu mapinduzi; lakini yametokea na yataendelea kutokea
Lini Ukraine imeanza kufanya vitu kwa kujilinganisha na Afrika Magharibi.
Hiyohiyo Afrika Magharibi ni nchi gani iliwahi fanya uchaguzi ikiwa vitani na nchi nyingine?
 
Akikubali kumwachia uongozi mtu mwengine itakuwa tangazo la kushindwa vita kwani atakayekuja lazima atoe ahadi ya kusitisha vita na kuingia kwenye mazungumzo na Urusi.Kwenye kampeni za huyo mwengine lazima amshutumu Zelensky hadharani.
Ni bora iwe hivyo, kuliko kupata kifungo
 
Lini Ukraine imeanza kufanya vitu kwa kujilinganisha na Afrika Magharibi.
Hiyohiyo Afrika Magharibi ni nchi gani iliwahi fanya uchaguzi ikiwa vitani na nchi nyingine?
Umma una nguvu kuliko katiba, ata kama katiba inasema x, umma ukisema unataka z itafanyika. Ni nchi gani ile umma ulivamia ikulu na kumuondoa kiongozi, unakumbuka?
 
Kwahiyo Ukrainians wataandamana kutafuta uchaguzi mkuu? Nchi iko kwenye martial law wewe unawaza watu kupiga kampeni.
Watu wako mobilised, mikusanyiko mikubwa ni marufuku kuepuka vifo vingi kutokana na mashambulizi ya makombora ya Urusi. Miji inawasha air silens mara kibao usiku kila bombers za Urusi zikiwa launched. We unawaza wajipange kupiga kura.

Na huo umma wa Ukraine uliokwambia unataka uchaguzi umeutoa wapi. Sri Lanka haikuwa vitani wananchi walipomuondoa Rais.
It seems hata vita hujui inavyobadilisha maisha ya kisiasa, FDR pale Marekani kagombea kwa mihula minne continuosly badala ya miwili sababu ya GED na WW2, kabadili makamu mara tatu na kafia madarakani vita haijaisha. Hapo Marekani haishambuliwi homeland sembuse nchi iwe inapigana na adui aliyepo kwenye ardhi yao
 
Back
Top Bottom