Hivi unafikiliq kutumia nini? Hujui nchi ikiwa kwenye state of emmergence haiwezekani kufanya uchaguzi?Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024.
Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo.
Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea atanadi sera gani kwa wapiga kura wake?.
Hili swali nadhani litamfaa zaidi.... huyu mama yenu aliepata uraisi kwa ndondokela!.....Uchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024.
Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo.
Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea atanadi sera gani kwa wapiga kura wake?.
Ata Africa magharibi katiba hairuhusu mapinduzi; lakini yametokea na yataendelea kutokeaMfano inawezaje kutokea wananchi wa Tanzania wakataka uchaguzi mwaka 2023 au 2024 au ule wa mwaka 2025 wasiutake?
Uchaguzi sio suala la ombi ni suala la kikatiba. Katiba ya Ukraine hairuhusu uchaguzi mkiwa vitani, na sijawahi sikia nchi inayoruhusu uchaguzi mkuu ikiwa vitani. Rais akifariki au akajiuzulu bado hawafanyi uchaguzi mkuu
Akikubali kumwachia uongozi mtu mwengine itakuwa tangazo la kushindwa vita kwani atakayekuja lazima atoe ahadi ya kusitisha vita na kuingia kwenye mazungumzo na Urusi.Kwenye kampeni za huyo mwengine lazima amshutumu Zelensky hadharani.Wapo watu wana uchu wa madaraka, unaangalia upepo unavyokwenda, ukiona wapo wanaotangaza nia, unamhamishia msala.
Kwa taarifa yako huyo jamaa kutokana na alivyosimama imala kwenye hii vita hana hata haja ya kupiga kampeni,na ndiye atakuwa baba wa taifa hilo.,niko paleeeeUchaguzi mwengine mkuu wa Ukraine unatarajiwa kufanyika mwakani 2024.
Kipi kinatarajiwa kufanyika kwenye uchaguzi huo. Je, utasitishwa kutokana na vita vinavyoendelea.Na jee katika inaruhusu udhuru huo.
Na kama uchaguzi utafanyika raisi wa sasa, Zelenksy naye atagombea. Na kama akigombea atanadi sera gani kwa wapiga kura wake?.
Lini Ukraine imeanza kufanya vitu kwa kujilinganisha na Afrika Magharibi.Ata Africa magharibi katiba hairuhusu mapinduzi; lakini yametokea na yataendelea kutokea
Ni bora iwe hivyo, kuliko kupata kifungoAkikubali kumwachia uongozi mtu mwengine itakuwa tangazo la kushindwa vita kwani atakayekuja lazima atoe ahadi ya kusitisha vita na kuingia kwenye mazungumzo na Urusi.Kwenye kampeni za huyo mwengine lazima amshutumu Zelensky hadharani.
Umma una nguvu kuliko katiba, ata kama katiba inasema x, umma ukisema unataka z itafanyika. Ni nchi gani ile umma ulivamia ikulu na kumuondoa kiongozi, unakumbuka?Lini Ukraine imeanza kufanya vitu kwa kujilinganisha na Afrika Magharibi.
Hiyohiyo Afrika Magharibi ni nchi gani iliwahi fanya uchaguzi ikiwa vitani na nchi nyingine?
Kwahiyo Ukrainians wataandamana kutafuta uchaguzi mkuu? Nchi iko kwenye martial law wewe unawaza watu kupiga kampeni.Umma una nguvu kuliko katiba, ata kama katiba inasema x, umma ukisema unataka z itafanyika. Ni nchi gani ile umma ulivamia ikulu na kumuondoa kiongozi, unakumbuka?
Huo ni mtizamo wako,wananchi hawakutegemea kama comedian angeweza kuwafikisha hapo walipoMwangalie mtu wako dalili zote kachoka na kachanganyikiwa.
umekuwa msemaji wa waukrain tayari.Sahau, Zele bado yupo sana. Kwa sasa Waukraine hawataki kusikia mtu anayefungamana na Urusi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app